Poor Ali Kiba, kama hujui kiingereza ni vema kuongea lugha yako tu

Poor Ali Kiba, kama hujui kiingereza ni vema kuongea lugha yako tu

If you don't know english you better use your mother tongue language to speak in public Ali,Shame on you man umejaa misifa tu ona sasa unavyojiabisha mpaka wenzako wanakucheka,sawa english siyo lugha yetu ila si kwa ngeli hiyo ya you know mpaka kiti mzee,inshort umeboa sana!!!Poor kibakuli.

Ushauri wangu wa Bure kwa Kiba, Kwanza aanze kujifunza kwa Diamond. Diamond pamoja na kujitetea koote kuwa mademu zake ndio wamemfundiaha Lugha Kiba anatakiwa ajue pia kuwa Diamond alihudhuria British Cousel ilikujinoa. Sasa Kiba aanze kuhudhuria British Counsel ili asije kuaibika na kuliaibisha Taifa tena.
 
Chezea kiingilishi wewe,si uongee tu kama Baraka kwani utadaiwa sh'ngap ....??
 
Mi mbona naona kaongea vzur tu,au kwavle skjui vzur,tena kwa rafuzi ya kizungu
 
Hapo ndo utofauti Wa Diamond na Kiba unapoonekana.Mondi alikuwa anajua anapoelekea akajifunza lugha faster lkn Alikiba hakuwa ameplan kufika huko alikurupushwa tu na "Bring back our Mc" campaign iliyomtoa usingizini wakati mwenyewe alisharizika na soko la ndani
 
Sisi ni wajinga na hatutaki kujifunza hivyo tutaendelea kuwa wajinga kwa muda zaidi.
Kwani hutusikii Wahindi wakiongea Kiingereza ni tofauti na Nigeria, USA ni tofauti na UK, Japan ni tofauti na Arabs nk nk, sasa hizo 'you know, you know, ni za nini, si unaongea kwa rafudhi (accent) yako walau hata kama hujui basi unaweza kueleweka. Namuonaga Koffi Olomide akiongea Kiingereza anaanza kabisa kwa kuomba samahani kuwa 'hakijui' lakini anaongea taratibu na kueleweka vizuri!
Lugha ni kitu kimoja na kuelezea unachotaka kueleza ni kitu kingine lakini hapa huyu bwana hajui lugha na hata anachokieleza hakijui pia. Sorry for him.
 
Mleta thread tofauti na kukosoa una jazba sana na Ali Kina,

Nini shida, imepenya?
 
Acheni kubwata, mbn wengi wanachapia tu hiyo lugha kwani hao ngozi nyeupe mbn wanachapia kiswahili hamuwaambii bora waongee cha kwao.... Ila siwashangai wanaume wa dar maana majungu ndo kazi ya wengi wenu. Mbn Paul wa P square alichapia kiswahili hamkubwata kama mnavyoshika bango hivi. Haya wewe ukisimama na chako cha kupigwa rula kichwani na mwalimu na kukariri toka kwny movie wajiona wajua. Mi naona si ajabu mtu kukosea lugha isiyokuwa yake nao wanaosikiliza wanajua si lugha yaje. Mbn big brother washiriki wake wanakosea sana, au kile kiibgereza cha wanaijeria mnaona kiko sahihi. Fikiria chanya kwqnza kisha ndo uongee mambo mengine hasi dhidi ya mtu tena kwa lengo la kujenga si hivi.... Umeibgiza sh ngapi kwa kutuonesha madhaifu yake
mkuu lugha gani umetumia hiyo mistari ya mwisho
 
Hahaahaaa "Kuna watu wanahonga PESA ili kiba ashindwe kuongea vzr kiingereza"
You know you say true.you knw they bribe so tht my tongue is heavy thn a brick.
"Why was ths guy by my side smilin widely while i was talkin,was i makin fun"?
lazima ahoji ilo swali akirud
 
Bora hata aliyeanza juzi Harmonize alijiongelea kiswahili siku chache zilizopita huko USA.
 
Back
Top Bottom