princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2]Hapo ndo utofauti Wa Diamond na Kiba unapoonekana.Mondi alikuwa anajua anapoelekea akajifunza lugha faster lkn Alikiba hakuwa ameplan kufika huko alikurupushwa tu na "Bring back our Mc" campaign iliyomtoa usingizini wakati mwenyewe alisharizika na soko la ndani
Jamaa naona hajui maana ya legend ndo maana povu lilikuwa linamtoka tuEt wanataka kuwa kama yy ..
Eti legend uyu vp??
KIBAMIA shisha unayotumia kali sana broo tutakupoteza mapema maana!
Daah we jamaa bhana..Kwanini asinge ongea kiswahili kama baraka au angeenda na seven aokoe jahazi, ila sio mbaya mwanzo mgumu au Salam sk kamwibia dictionary .
Huenda unazungumzia kuhusu aina za mabomNdo nini hayo Majini ni ya venue au??
Huenda anazungumzia aina za mabomuhapana haya ni ya stadium.....