Poor Ali Kiba, kama hujui kiingereza ni vema kuongea lugha yako tu

Poor Ali Kiba, kama hujui kiingereza ni vema kuongea lugha yako tu

You know, yeah, you know, you know, you knooooow



I knooooooow, you know[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Hapo ndo utofauti Wa Diamond na Kiba unapoonekana.Mondi alikuwa anajua anapoelekea akajifunza lugha faster lkn Alikiba hakuwa ameplan kufika huko alikurupushwa tu na "Bring back our Mc" campaign iliyomtoa usingizini wakati mwenyewe alisharizika na soko la ndani
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2]
 
Et wanataka kuwa kama yy ..
Eti legend uyu vp??

KIBAMIA shisha unayotumia kali sana broo tutakupoteza mapema maana!
 
Achen ulimbukeni kwan hiyo ngeli aliyo ongea ina tatzo gani napata wasiwasi na amagdara zenu
 
Ana accent nzuri... Bado tu fluency in speaking na aongeze vocabularies
 
kiba ni wa kigoma so dar ye kaja dar muhamiaji tu tena kazamia alikuja kwenye mkumbo wa msiba tu
 
Back
Top Bottom