cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Acha ujinga, chakwako kikojee? Alichoongea hicho kinatosha ilimradi kimeeleweka ndio la msingi,usitake watu waongee kama waingereza, hata mzungu aliejifunza kiswahili usitegemee ataongea kama mswahili mwenye lugha yake, ata chapia and that's normal.If you don't know english you better use your mother tongue language to speak in public Ali,Shame on you man umejaa misifa tu ona sasa unavyojiabisha mpaka wenzako wanakucheka,sawa english siyo lugha yetu ila si kwa ngeli hiyo ya you know mpaka kiti mzee,inshort umeboa sana!!!Poor kibakuli.
Kaongea lugha mbaya ipi ambayo haijaeleweka?Mbona kaongea simple English na well understood.If you don't know english you better use your mother tongue language to speak in public Ali,Shame on you man umejaa misifa tu ona sasa unavyojiabisha mpaka wenzako wanakucheka,sawa english siyo lugha yetu ila si kwa ngeli hiyo ya you know mpaka kiti mzee,inshort umeboa sana!!!Poor kibakuli.
kuchapia kawaida sana, tatizo la kiba MAJIVUNO anajiona king afu kujieleza hajui sio kwa kiswahili wala kingereza ndipo hapo tunaposhangaa king of F.ckngEverythingAcha ujinga, chakwako kikojee? Alichoongea hicho kinatosha ilimradi kimeeleweka ndio la msingi,usitake watu waongee kama waingereza, hata mzungu aliejifunza kiswahili usitegemee ataongea kama mswahili mwenye lugha yake, ata chapia and that's normal.
Mmoja wapo ni wewe unaeandika Bhana DaaahWanaume wa dar bhana daaah
Seriously the guy has really tried. Am sure if we put you on a clear spotlight it might be challenging for you to put up a technical dialogue in this colonial language.If you don't know english you better use your mother tongue language to speak in public Ali,Shame on you man umejaa misifa tu ona sasa unavyojiabisha mpaka wenzako wanakucheka,sawa english siyo lugha yetu ila si kwa ngeli hiyo ya you know mpaka kiti mzee,inshort umeboa sana!!!Poor kibakuli.
Ndiyo maana mie nasema tatizo lipo kwa wanaokosoa wenzao ila hawajajijua.Harmonize alisemwa humu kwa kuongea kiswahili USA.
huyu akasema naongea lugha ya malkia.
au alizimiwa kiingereza na Sallam?
ekzatliiNdiyo maana mie nasema tatizo lipo kwa wanaokosoa wenzao ila hawajajijua.
Mwanaume wa darMmoja wapo ni wewe unaeandika Bhana Daaah