cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Nimetoka kusikiliza, Yesu na Maria uwiiii anaongelea nini huyu mwanaume? Kwa kweli ndio msanii anayejiita mkubwa anasema hayo?
Hata kwa kiswahili bado angeshangaza tu.
Hajui ndio wakati wa kujiuza hapo, mtu atake kujua zaidi na kazi kumjia. Nani kweli atataka kusogea nae... duh!!!!