Kibakuli kingereza akijulie wapi??If you don't know english you better use your mother tongue language to speak in public Ali,Shame on you man umejaa misifa tu ona sasa unavyojiabisha mpaka wenzako wanakucheka,sawa english siyo lugha yetu ila si kwa ngeli hiyo ya you know mpaka kiti mzee,inshort umeboa sana!!!Poor kibakuli.
Haa haaa haa wee jamaa naomba ulinzi wa mbavu zanguuKwanini asinge ongea kiswahili kama baraka au angeenda na seven aokoe jahazi, ila sio mbaya mwanzo mgumu au Salam sk kamwibia dictionary .
Je pombe ya chato???I agree with you DALA. This colonial language is not very friendly to many of us.
Even elite group during their presentation, the language is block to them.
Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Sijaona tatizo lolote kwenye kuongea kwake. Hii ni lugha ya kingeni makosa na.mapozi kama hayo ya you know kawaida tu. Tumshangae akishindwa kuongea kiswahili fasaha. Kuchekana huku ndio kunaturudisha nyuma.
yooohIf you don't know english you better use your mother tongue language to speak in public Ali,Shame on you man umejaa misifa tu ona sasa unavyojiabisha mpaka wenzako wanakucheka,sawa english siyo lugha yetu ila si kwa ngeli hiyo ya you know mpaka kiti mzee,inshort umeboa sana!!!Poor kibakuli.
Yeah so yeah growing you know yeahhhhNilitaka kujua kama ni bingwa wa kiingereza na sio vinginevyo.
Haaa haaa mwana umeikopi kabisaThey improvement of.......you know.....business of the music......is the business right now so.....enh?..so many talented......young people there?...you know.....Young generation I mean??.....enh ah!?...everyone want to be like ali kiba.....you know!?.....uh..just like that....so....yah enh....you know...yah...thank god for that....becouse.....umh.....I've courage so many yan!?....young generation as in yah....young people??....because sometimes d'sing like me!?...enh....i....i fill good.....eyh..eeyh....at least creat....you know!?.....so yah...yah....so th@$# we have good life.....eh...we have....eeh..its different like before??....you know...umh..I can say am a legend from....tanzania.....I know how situation was before....before we started to sing??
Jamaa unaniua ujue..teh teh tehKakosea kakosea tu maana cyo kwa hiyo broken ya mwendo kasi.....yaani ni kupatwa kwa kingereza
Kupatwa kwa Malkia Elizabethhahaaa!!
Ila kaeleweka na kajitahidi, hakuna asiyejua kuwa kiingereza hakiongelewi dunia nzima. Clip ni fupi toa masahihisho ya alichopaswa kusema na vilazar tujifunze. Kwani na wewe tukikuuliza "mother tongue language" ni kitu gani utatujibu nini? Ilitosha tu kusema mother tongue.If you don't know english you better use your mother tongue language to speak in public Ali,Shame on you man umejaa misifa tu ona sasa unavyojiabisha mpaka wenzako wanakucheka,sawa english siyo lugha yetu ila si kwa ngeli hiyo ya you know mpaka kiti mzee,inshort umeboa sana!!!Poor kibakuli.
Ok yeah...you encouraged you knowWengi tuna ujuzi wa kuponda ilimradi tu. Ebu kila alie changia hapa arudi kuchangia kwa kingereza baada ya hapo ndo tuanze kumkosoa huyo Kiba
If you don't know english you better use your mother tongue language to speak in public Ali,Shame on you man umejaa misifa tu ona sasa unavyojiabisha mpaka wenzako wanakucheka,sawa english siyo lugha yetu ila si kwa ngeli hiyo ya you know mpaka kiti mzee,inshort umeboa sana!!!Poor kibakuli.
maza fanta [emoji13][emoji13][emoji13]Hahahaaaaaaaaaa
Alivo kua anajifunza mond kuimprove kdgo walisema ooooh anakuwa mtumwa na lugha za watu
Maza fanta kwan tz si tunasoma iyo frm chekechea to form4???
Mama yangu weeee Yaan leo napata raha zaid ya instagram kumbe hadi kuzimiana limi kupo humu JamiiF mmenishinda na wagawa bure ndg zangun [emoji23][emoji23][emoji23]Kiba anajua kiingereza bhana sema itakuwa meneja wa diamond alimminya ulimi kimazingara ndo maana akawa anajing'ata ng'ata... si eti eeh team kiba