Poor Ali Kiba, kama hujui kiingereza ni vema kuongea lugha yako tu

Poor Ali Kiba, kama hujui kiingereza ni vema kuongea lugha yako tu

If you don't know english you better use your mother tongue language to speak in public Ali,Shame on you man umejaa misifa tu ona sasa unavyojiabisha mpaka wenzako wanakucheka,sawa english siyo lugha yetu ila si kwa ngeli hiyo ya you know mpaka kiti mzee,inshort umeboa sana!!!Poor kibakuli.

Kibakuli kingereza akijulie wapi??

Mchimba chumvi tu huyo
 
I agree with you DALA. This colonial language is not very friendly to many of us.
Even elite group during their presentation, the language is block to them.

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Je pombe ya chato???
Sijaona tatizo lolote kwenye kuongea kwake. Hii ni lugha ya kingeni makosa na.mapozi kama hayo ya you know kawaida tu. Tumshangae akishindwa kuongea kiswahili fasaha. Kuchekana huku ndio kunaturudisha nyuma.
 
Yah yah yeh know yah young generation yah young people there yah yah you know there
 
If you don't know english you better use your mother tongue language to speak in public Ali,Shame on you man umejaa misifa tu ona sasa unavyojiabisha mpaka wenzako wanakucheka,sawa english siyo lugha yetu ila si kwa ngeli hiyo ya you know mpaka kiti mzee,inshort umeboa sana!!!Poor kibakuli.

yoooh
 
Nilitaka kujua kama ni bingwa wa kiingereza na sio vinginevyo.
Yeah so yeah growing you know yeahhhh

Yeah encouraged generation you know

You knowwwww yeah

Umeridhika?[emoji108] [emoji108]
 
They improvement of.......you know.....business of the music......is the business right now so.....enh?..so many talented......young people there?...you know.....Young generation I mean??.....enh ah!?...everyone want to be like ali kiba.....you know!?.....uh..just like that....so....yah enh....you know...yah...thank god for that....becouse.....umh.....I've courage so many yan!?....young generation as in yah....young people??....because sometimes d'sing like me!?...enh....i....i fill good.....eyh..eeyh....at least creat....you know!?.....so yah...yah....so th@$# we have good life.....eh...we have....eeh..its different like before??....you know...umh..I can say am a legend from....tanzania.....I know how situation was before....before we started to sing??
Haaa haaa mwana umeikopi kabisa

Kibakuli sio mtu wa spot spot asee...
 
aendelee hivyo hivyo kuongea tu ipo siku ataweza, mwanzo mgumu! mbona hata wazungu nao wanabofoa kiswahili
 
Kiba anajua kiingereza bhana sema itakuwa meneja wa diamond alimminya ulimi kimazingara ndo maana akawa anajing'ata ng'ata... si eti eeh team kiba
 
Wengi tuna ujuzi wa kuponda ilimradi tu. Ebu kila alie changia hapa arudi kuchangia kwa kingereza baada ya hapo ndo tuanze kumkosoa huyo Kiba
 
If you don't know english you better use your mother tongue language to speak in public Ali,Shame on you man umejaa misifa tu ona sasa unavyojiabisha mpaka wenzako wanakucheka,sawa english siyo lugha yetu ila si kwa ngeli hiyo ya you know mpaka kiti mzee,inshort umeboa sana!!!Poor kibakuli.

Ila kaeleweka na kajitahidi, hakuna asiyejua kuwa kiingereza hakiongelewi dunia nzima. Clip ni fupi toa masahihisho ya alichopaswa kusema na vilazar tujifunze. Kwani na wewe tukikuuliza "mother tongue language" ni kitu gani utatujibu nini? Ilitosha tu kusema mother tongue.
 
If you don't know english you better use your mother tongue language to speak in public Ali,Shame on you man umejaa misifa tu ona sasa unavyojiabisha mpaka wenzako wanakucheka,sawa english siyo lugha yetu ila si kwa ngeli hiyo ya you know mpaka kiti mzee,inshort umeboa sana!!!Poor kibakuli.

ila kwanini wasimuulize kiswahili ? nao hao wanakusudi lao
 
Kiba anajua kiingereza bhana sema itakuwa meneja wa diamond alimminya ulimi kimazingara ndo maana akawa anajing'ata ng'ata... si eti eeh team kiba
Mama yangu weeee Yaan leo napata raha zaid ya instagram kumbe hadi kuzimiana limi kupo humu JamiiF mmenishinda na wagawa bure ndg zangun [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom