Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Argentina kweli washabiki wengi wa soka watapendelea ishiriki kule SA mainly kumuona the current great player on earth Messi akifanya vitu vyake, ila kwa upande wangu Brazil ndio timu pekee ambayo kukosekana kwake ni pengo kwenye world cup.Will all due respect it will be unthinkable for argentina not to feature in the coming FIFA World Cup 2010 kule SA, go go Argentina go go Maradona...
Argentina 2 Peru 1Ila El Pibo kama atachanga karata zake vizuri basi Sauzi Atakuwepo, nikiangalia mechi zilizobakia siyo nzuri sana kwa Ecuador coz atamkaribisha Nyumbani Urugay, who ever atakayeshinda itakuwa ni Advantage kwa Argentina Provided that wamfunge Peru. Ecuador Akifungwa na Colombia na Argentina akamfunga Peru ina maana Argentina atarudi nafasi ya nne, Ecuador akishinda na Argentina akishinda inaama Argentina watakuwa wanconferm nafasi ya tano kwa Play off na Mshindi wa nne wa CONCACAF.
Viva Argentina
Ngoma inogile mie leo nikifika home ni kulala tu then usiku wa manane nadamka kucheki Argie akimnyoa Uruguay 3-1