Poor argentina... Poor maradona

Poor argentina... Poor maradona

Will all due respect it will be unthinkable for argentina not to feature in the coming FIFA World Cup 2010 kule SA, go go Argentina go go Maradona...
 
Huyu jamaa itabidi atimuliwe hata kama Argentina wakifuzu
 
Mie Argentina siwazimii kihivyo kwa hiyo ata wakishindwa kufuzu poa tuu lol....!!
 
Mie Argentina siwazimii kihivyo kwa hiyo ata wakishindwa kufuzu poa tuu lol....!!

Kaka Duh... Liver huwapendi, Argies kimtindo usije sema na Barca pia huwapendi!!!

Ntakutandika kirusi kimoja sasa hivi...😱😛😛😡
 
Will all due respect it will be unthinkable for argentina not to feature in the coming FIFA World Cup 2010 kule SA, go go Argentina go go Maradona...
Argentina kweli washabiki wengi wa soka watapendelea ishiriki kule SA mainly kumuona the current great player on earth Messi akifanya vitu vyake, ila kwa upande wangu Brazil ndio timu pekee ambayo kukosekana kwake ni pengo kwenye world cup.
 
Ila El Pibo kama atachanga karata zake vizuri basi Sauzi Atakuwepo, nikiangalia mechi zilizobakia siyo nzuri sana kwa Ecuador coz atamkaribisha Nyumbani Urugay, who ever atakayeshinda itakuwa ni Advantage kwa Argentina Provided that wamfunge Peru. Ecuador Akifungwa na Colombia na Argentina akamfunga Peru ina maana Argentina atarudi nafasi ya nne, Ecuador akishinda na Argentina akishinda inaama Argentina watakuwa wanconferm nafasi ya tano kwa Play off na Mshindi wa nne wa CONCACAF.

Viva Argentina
Argentina 2 Peru 1

Ila Uruguay ameshinda

Utabiri wangu Mechi kati ya Argentina na Uruguay itakuwa Ngumu sana
 
Argentina 2 Peru 1

Ila Uruguay ameshinda

Utabiri wangu Mechi kati ya Argentina na Uruguay itakuwa Ngumu sana

Still very unconvincing Argies.... Just shoot all of them in their arses!!
 
Palermo keeps Argentina alive


GettyImages
Martin Palermo scored a late winner in driving rain
It will go down to the wire but Argentina still have hopes of qualifying for the World Cup after a truly dramatic defeat of Peru. Diego Maradona did a mudslide of joy as Martin Palermo scored in the 94th minute, barely a minute after Hernan Rengifo had equalised.

Go Argie Go Argie....
 
Haya haya Wapenzi wa Argie, leo ni kusuka au Kunyoa
 
Ngoma inogile mie leo nikifika home ni kulala tu then usiku wa manane nadamka kucheki Argie akimnyoa Uruguay 3-1
 
Ngoma inogile mie leo nikifika home ni kulala tu then usiku wa manane nadamka kucheki Argie akimnyoa Uruguay 3-1

Mh! Preddictions zako kaka! Game saa ngapi kwa saa zetu na TV gani inaonyesha mtanange
 
1-0 Argentina scored! 5 minutes to go Mario Bolatti
 
Argentina wamepiga goli 1, naona mmaradona atasave kiaina
 
Mpira umeisha Maradona Kapona Argentina 1- uruguay 0 Argentina is heading to South Africa
 
hatimaye maradona amefanikiwa kufanya kazi aliyopewa nayo ni kuipeleka argentina world cup 2010 huko south africa baada ya kuichapa uruguay bao 1-0 lililofungwa na ariel bollati dakika ya 87

uruguay sasa itacheza na aidha honduras au cost rica
 
ola alla argetina sasa tuna watafuta wabaya wetu brazil tuu
 
lakini mpira gani nyinyi mnaangalia mbona argentina kisha pita hapa!!!!
 
Back
Top Bottom