Poor Brain FT MS R wimbo unaitwa Sijiwezi



Breaking News Msanii wa kizazi kipya harmonize atoa ya moyoni kuwa alitamani sana kufanya collabo na msanii chipukizi Poor Brain ila yashindikana kwa kuhofia management ya msanii huyo iliyopo chini ya meneja wake Half american kushindwa kutoa mkataba.....

Hata hivyo Half american ahofia anguko kubwa la msanii wake wakati huu umarufu wake ukiwa katika kiwango kikubwa.

Hizo ni taarifa mpya kabisa za ndani kutoka chitchat

Taarifa kamili hapo chini:

Management of Pure Brained Music (PBM) Tanzania,under Manager Half american , has disclosed the reason behind his recent decision to decline a collaboration offer to allow his musicians Poor Brain to make SIJIWEZI remix in Konde Gang Studio,with harmonize

Half american stated that he rejected the offer because he would not be comfortable to see his artist to be overtaken.

Poor Brain In a freestyle session during a rehearsal with his band Ms R and Nyamwila255 , Outsiders Mbaga Jr , Poor Brain expressed, β€œJust now I turned down Konde Gang offer, collaboration na small thing cos me I no dey like to dey go where my manager say"

Wakuu ngoma inaenda hiii et
 
Ww
We unaroga sio Bure🀣🀣 mbn ngoma inaenda viral hivii...ehh
 
Ww
We unaroga sio Bure🀣🀣 mbn ngoma inaenda viral hivii
Unaambiwa mi nilichukulia simple ila mpaka sasa naona ngoma inapaa yaani nimeshangaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nini Siri ya mafanikiooooo πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ww

We unaroga sio Bure🀣🀣 mbn ngoma inaenda viral hivii

Nini Siri ya mafanikiooooo πŸ˜‚πŸ˜‚
Wanasema kipaji tuu mpaka sasa ngoma ishakua gumzo ujue πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapa uandae show ..tupige mpunga
Yaaah tafanya hvo dua na sapport tuu....

Mana hapa najua kuna mpunga wa kutosha mkuu...

Sema madansa napata wapi ...? Nataka kutoa amapiano moja hvi matata
 
First word kwenye nyimbo ni tuşI kwa mama…. Cover photo ni Denzel Washington

Vijana mna shida sana
 
First word kwenye nyimbo ni tuşu kwa mama

Vijana mna shida ana
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Neno gani tena mkuu..
Wakati mzigo ushakaguliwa huo et
 
Oyaa una meneja kweli πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜ Cc ephen_ kama hauna nambie Ngoma tupeleke mjini hii kalii sana
 
Kaka ww mchawi πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…