Poor Brain FT MS R wimbo unaitwa Sijiwezi

Poor Brain FT MS R wimbo unaitwa Sijiwezi

Huo wimbo nilikutungia ili uniimbie MIMI na sio huyo Ms R....

UMENIKERA UMENIKERA UMENIKERA UMENIKERAAAAA

Wimbo nikutungie mimi, hela ya kurekodi nikupe mimi, producer na director niwe mimi HALAFU wimbo umuimbie huyo CHAKUBANGA MTOKA PABAYA...

Naona umechoka kulelewa......nitakata mirija yote ya MATUMIZI.
Kimewaka 🔥
 
Bomboclat aka bomboclot ni rush kubwa, motherfucker, or uchafu wa kule chini wa mwanamke and the likes

Wahariri wamepitishaje hilo neno?
Mmmmh mkuu hili neno ni kama msimu hvo halina nguvu kwa wachambuzi kule basata ni sawa na mtu aseme MAKUzi 😂😂😂😂🙏🙏🙏
 
View attachment 3064313

Breaking News Msanii wa kizazi kipya harmonize atoa ya moyoni kuwa alitamani sana kufanya collabo na msanii chipukizi Poor Brain ila yashindikana kwa kuhofia management ya msanii huyo iliyopo chini ya meneja wake Half american kushindwa kutoa mkataba.....

Hata hivyo Half american ahofia anguko kubwa la msanii wake wakati huu umarufu wake ukiwa katika kiwango kikubwa.

Hizo ni taarifa mpya kabisa za ndani kutoka chitchat

Taarifa kamili hapo chini:

Management of Pure Brained Music (PBM) Tanzania,under Manager Half american , has disclosed the reason behind his recent decision to decline a collaboration offer to allow his musicians Poor Brain to make SIJIWEZI remix in Konde Gang Studio,with harmonize

Half american stated that he rejected the offer because he would not be comfortable to see his artist to be overtaken.

Poor Brain In a freestyle session during a rehearsal with his band Ms R and Nyamwila255 , Outsiders Mbaga Jr , Poor Brain expressed, “Just now I turned down Konde Gang offer, collaboration na small thing cos me I no dey like to dey go where my manager say"

Wakuu ngoma inaenda hiii et
We fala🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂🙌🏾
 
MPAJI.jpg


King of Pop Mpaji Mungu amekataa waziwazi mwaliko wa msanii chipukizi Poor Brain kwenye studio zao PBM zilizopo Mbezi Dar es saalam, Tanzania.

•Akijibu kuhusu kukataa kufanya wimbo na Poor Brain Mpaji Mungu alisema ""kila msanii ana uhuru wa kufanya wimbo na yeyote anayetaka kufanya naye kazi lakini linapokuja suala la pesa huwa sina huruma na mtu.""

Wakati wakizindua nyimbo hiyo siku chache zilizopita, Mpaji Mungu alidokeza kuwa atafurahi sana kama atalipwa $4000 kama nyota mwenzake wa bongo fleva akitaka hiyo collabo.

Hata hivyo amejitokeza tajiri Vincenzo Jr anatamani awe meneja ili aweze kupeleka ngoma mjini ""Nimeamua kusapport kazi ya kijana mwenzangu, nitahakikisha anapata usimamizi mzuri "".

Umesha-imagine meneja mkubwa kama Vincenzo akisimamia hii ngoma live...
😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
 
Back
Top Bottom