View attachment 3064313
Breaking News Msanii wa kizazi kipya harmonize atoa ya moyoni kuwa alitamani sana kufanya collabo na msanii chipukizi
Poor Brain ila yashindikana kwa kuhofia management ya msanii huyo iliyopo chini ya meneja wake
Half american kushindwa kutoa mkataba.....
Hata hivyo
Half american ahofia anguko kubwa la msanii wake wakati huu umarufu wake ukiwa katika kiwango kikubwa.
Hizo ni taarifa mpya kabisa za ndani kutoka chitchat
Taarifa kamili hapo chini:
Management of Pure Brained Music (PBM) Tanzania,under Manager
Half american , has disclosed the reason behind his recent decision to decline a collaboration offer to allow his musicians
Poor Brain to make SIJIWEZI remix in Konde Gang Studio,with harmonize
Half american stated that he rejected the offer because he would not be comfortable to see his artist to be overtaken.
Poor Brain In a freestyle session during a rehearsal with his band
Ms R and
Nyamwila255 , Outsiders
Mbaga Jr ,
Poor Brain expressed, “Just now I turned down Konde Gang offer, collaboration na small thing cos me I no dey like to dey go where my manager say"
Wakuu ngoma inaenda hiii et