Poor Brain FT MS R wimbo unaitwa Sijiwezi

Hizi endorsement unazoona hazijaja zenyewe sheikh nlikuwa nakesha studio
Daaah mkuu kwa profile yako inaelekea wewe mwenyewe ni mtu mzito sana aiseee...

Sasa kama unavojua mi ni underground jaribu kupunguza pesa mkuu utaniua sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jitume, punguza nyeto focus na kazi achana na wanawake wasio na tija, punguza pombe ongeza ubunifu. Hela haipungui $4000 ni kama msamaha tu kwa nyie newbie
 
Khaaaaaa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Wee kuweza mkuu mbona vya kupunguza vingi hivo...

Mkuu taanza na $2000 kwanza nakuomba mkuu najua kutokea wewe kwenye video yangu ni promo kubwa
 
Siwezi naheshimu kipaji changu naona haupo serious Kwa hiyo Hela we kaimbe na meja kunta au Steve Mweusi
 
Back
Top Bottom