Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
- #21
Mis hii ngoma naachia mpaka youtube ujue vooNiache mm πππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mis hii ngoma naachia mpaka youtube ujue vooNiache mm πππ
Tia neno bwan wew vipAisee
Nasemaje nasemaje nasemaje ππππππππDaaah kuniandama
Nmebaki kushangaa tuu ynππππ Mpaka cha kuongea huna mkuu
ovyo sana wewe nani atatizamaMis hii ngoma naachia mpaka youtube ujue voo
Sina la kusema mkuu πTia neno bwan wew vip
Vaa nguo basi πππSina la kusema mkuu π
Ukweli usemweUsiseme hivo mbona unanikatisha tamaa mapema mis
Kula chuma hichoDaaah kuniandama
Member wote wa jf mi naamini BICHWA KOMWE - katendea haki videoovyo sana wewe nani atatizama
Wooozaaaa wooozaaaaSIJIWEZI Lyrics By Poor Brain Featuring Ms R
VERSE 1 Poor Brain π§
Koh koh koh
Bomboclat
Oooh baby nataka nikwambie vile moyo wangu what i feel,
Are you ready uisikie nafsi yangu upande wa pili
Acha nijimalize kwako mi zaidi ya bwege, mi TID we ndo zeze nalipiga njoo tucheze
CHORUS Poor Brain
Oooh mapenzi yako mapenzi unanichanganya laaziz,
Sawa mahaba ila umezidisha dozi utanipa uchizi
Wallah sijiwezi we kuti na mkwezi, maganda bila ndizi,
Sawa mahaba ila umezidisha dozi utanipa uchizi
VERSE 2 Ms R
I got you you got me baby, uko sambamba na mimi my dady,
Iwe kwa shida na raha oooh baby, ooh baby, oooh my dady
Umenipa dozi daktari baba, umenificha mi sitoki ndani
Ntakupa dooh vitu vya thamani sijiwezi niko taabani.
Uwepo wako naamini maradhi yangu yatapona
And i will be waiting for this but now i found love.
In this song baby your dedication pack vitu twendege vacation
Twende far away no location au Zanzibar Indian ocean
Wacha nijimalize mi kwako zaidi ya bwege, mi TID na we ndo zeze nalipiga njoo tucheze
Oooh kipenzi yako mapenzi unanichanganya laaziz,
Sawa mahaba ila umezidisha dozi utanipa uchizi
Wallah sijiwezi we kuti na mkwezi, maganda bila ndizi,
Sawa mahaba ila umezidisha dozi utania uchizi
Ka mix laizer
Wa memchokoza beaaa
Kimambo on the beats
The mix killer
Director BICHWA KOMWE -
Nshavaa na hapa naingia kulala na jeans yangu πVaa nguo basi πππ
ππππ Unazingua banaKula chuma hicho
Kwa mara ya kwanza na ya mwisho huna la kusema weweπ³π³Sina la kusema mkuu π
ππππ Tupo studio mkuu hi kama nandy na billnengaNshavaa na hapa naingia kulala na jeans yangu π
Kinakaba kooKula chuma hicho
Siku zote ndio niko hvyKwa mara ya kwanza na ya mwisho huna la kusema weweπ³π³