Vitu kama hivi mtu falls in love with the idea of how huyo mtu yupo.... Which in most cases wakionana yaweza kua bonge la dissapointment...
Very smart remarks.....
Husny hapo ndio nimeshindwa muelewa Sangara... Unakumbuka siku ile ya muziki alimwaga mwanyanga wazi kabisa kwa Sweetlady??
Sangara hapa you are Wrong.... I don't know her.... (for the one I know tayari ushamwambia....)
siku ile bado kidogo nimwite shehe afungishe ndoa ya mkeka aisee maana nilimuona swtlady anarembua kuonesha kukubali.
Mie waliniambia tayari.... Imagine Sweetlady is my second Best Wifi..... Hii habari ya Sangara hii...... Dah!
Tobaaaaaaaaa!siku ile bado kidogo nimwite shehe afungishe ndoa ya mkeka aisee maana nilimuona swtlady anarembua kuonesha kukubali.
Jesus!.....swahiba kweli umeamua!..khaa.inawezekana sangara anataka amtambulishe swtlady rasmi. Ngoja tuone hii movie ya kihindi itaishaje.
Niko hapa wifi yako....mimi penda wewe sana...naimani moyo wako umetulia, coz ushamwona kakako...nilikwambia twapeana zamu kuingia jf...lolMie waliniambia tayari.... Imagine Sweetlady is my second Best Wifi..... Hii habari ya Sangara hii...... Dah!
Niko hapa wifi yako....mimi penda wewe sana...naimani moyo wako umetulia, coz ushamwona kakako...nilikwambia twapeana zamu kuingia jf...lol
WL, huyo aliyemshinda Husni mi nitamuwezea wapi? Sangara hata kama kapata mwingine, kwangu atarudi tu, si wajua awali ni awali?...hilo nalo neno lkn nakaonea huruma ujue, au tumpe sweetlady maana sangara kapata mwingine..
Am so happy too mpendwa, huyu kakako sijajua nini hasa kimempata, amenishtua kwa kweli.. Usijali ngoja aamke nimwulize kulikoni...lol.. Tutayamaliza peke yetu haya. Sante wifi kwa kunijali mimi na kakako!...I am so happy kukuona hapa my great Wifi... hivi waweza nisaidia nini hasa kimemsibu kaka yangu?? lol
Am so happy too mpendwa, huyu kakako sijajua nini hasa kimempata, amenishtua kwa kweli.. Usijali ngoja aamke nimwulize kulikoni...lol.. Tutayamaliza peke yetu haya. Sante wifi kwa kunijali mimi na kakako!...
Sangara my twin what is not happening? Tel me plz
Ha ha wifi bana ngoja twende chemba hapa naona haya mwenzioaaah!!! Dena Wifi yangu mwingine tena... Of all people naamini lile ambalo atashindwa mwambia hata Sweetlady wee utaniambia... hivo nakutegemea... Mzima wewe??
Ha ha wifi bana ngoja twende chemba hapa naona haya mwenzio
Am so happy too mpendwa, huyu kakako sijajua nini hasa kimempata, amenishtua kwa kweli.. Usijali ngoja aamke nimwulize kulikoni...lol.. Tutayamaliza peke yetu haya. Sante wifi kwa kunijali mimi na kakako!...
Sangara my twin what is not happening? Tel me plz
Jesus!.....swahiba kweli umeamua!..khaa.
stelingi umekuja eeh, acha kumchezesha kuch kuch hotae handsome boy sangara.
khaaa...im not a boy Husni...hebu jibu pm basi
gentleman. Satisfied?
Huyu mtu akinielewa nitakuwa satisfied....