Poor me!

Poor me!

Vitu kama hivi mtu falls in love with the idea of how huyo mtu yupo.... Which in most cases wakionana yaweza kua bonge la dissapointment...

Very smart remarks.....

Husny hapo ndio nimeshindwa muelewa Sangara... Unakumbuka siku ile ya muziki alimwaga mwanyanga wazi kabisa kwa Sweetlady??

Mh.....

Sangara hapa you are Wrong.... I don't know her.... (for the one I know tayari ushamwambia....)

Read between the characters my sisy.....
 
siku ile bado kidogo nimwite shehe afungishe ndoa ya mkeka aisee maana nilimuona swtlady anarembua kuonesha kukubali.

Unanionea wajua kwa uchangiaji huu....

Mie waliniambia tayari.... Imagine Sweetlady is my second Best Wifi..... Hii habari ya Sangara hii...... Dah!

Dada unatoa hukumu ya uonevu kabsa....
 
Mie waliniambia tayari.... Imagine Sweetlady is my second Best Wifi..... Hii habari ya Sangara hii...... Dah!
Niko hapa wifi yako....mimi penda wewe sana...naimani moyo wako umetulia, coz ushamwona kakako...nilikwambia twapeana zamu kuingia jf...lol
 
I am so happy kukuona hapa my great Wifi... hivi waweza nisaidia nini hasa kimemsibu kaka yangu?? lol
 
hilo nalo neno lkn nakaonea huruma ujue, au tumpe sweetlady maana sangara kapata mwingine..
WL, huyo aliyemshinda Husni mi nitamuwezea wapi? Sangara hata kama kapata mwingine, kwangu atarudi tu, si wajua awali ni awali?...
 
I am so happy kukuona hapa my great Wifi... hivi waweza nisaidia nini hasa kimemsibu kaka yangu?? lol
Am so happy too mpendwa, huyu kakako sijajua nini hasa kimempata, amenishtua kwa kweli.. Usijali ngoja aamke nimwulize kulikoni...lol.. Tutayamaliza peke yetu haya. Sante wifi kwa kunijali mimi na kakako!...
 
Wifi Sweet lady... you are so sweet hivo hapo in blue sikua na wasi kabisa!!! Asante kwa kumjali na kumpenda kakangu pia....
 
Sangara my twin what is not happening? Tel me plz

aaah!!! Dena Wifi yangu mwingine tena... Of all people naamini lile ambalo atashindwa mwambia hata Sweetlady wee utaniambia... hivo nakutegemea... Mzima wewe??
 
Ha ha wifi bana ngoja twende chemba hapa naona haya mwenzio
 
Am so happy too mpendwa, huyu kakako sijajua nini hasa kimempata, amenishtua kwa kweli.. Usijali ngoja aamke nimwulize kulikoni...lol.. Tutayamaliza peke yetu haya. Sante wifi kwa kunijali mimi na kakako!...

Umenifanya nitabasamu...lol...

Sangara my twin what is not happening? Tel me plz

Pacha wangu DA...habari yako...kiufupi mwezio yamenikuta...
 
Back
Top Bottom