Poor performance by Wasafi in Nairobi... Twitter reactin

Hao wasafi wajifunze kufanya live perfomance.

huwezi kufanya playback juu ya CD na kurukaruka jukwaani kama ndama alafu unajiita performer.

kuna mdau kasema hapo juu kuwa Wasafi walichofanikiwa ni kuweka mitindo ya nywele kama wanawake full stop.

Aibu hii.
 
Mbona wamefanya show kubwa kubwa ulaya na kwingineko Africa hatujawai ona coments za hivi.. hawa watakuwa wametumwa na king
 
hahahaha kazi kweli kweli
 
Wasafi hata wakirudi leo Kenya, wakenya watajaa kuwaangalia,,wameteka soko ile mbaya

Tatizo la wasanii wa kenya ni wivu tu unawasumbua,,wadada zao wanwapenda wasafi ile mbaya sasa vidume vinaumie vinaleta chuki binafsi mitandoni
 
KUNA CLIPS ZIPO instagram jamaa anaimba nje ya key kabisa,nyingine off beat...lalalalalalala
 
Midanganyika ni watu wa kusikitisha sana.

BTW hua naona wakijisifia eti waKenya tunawapa pesa show kama hizi zikija nchini. Sijui ni ujamaa, ujinga au uchawi.

Eti pesa alizo pata diamond au msanii yeyote wa TZ ni "yao". Unaeza fikiri wao hugawiwa hizo hela. Midanganyika ni mtu mjinga sana.
 
Mbona wamefanya show kubwa kubwa ulaya na kwingineko Africa hatujawai ona coments za hivi.. hawa watakuwa wametumwa na king
Hahaha. πŸ˜€ Sina la ziada kwasababu miziki ya aina hiyo, bongo fleva, huwa haunivutii. Ila kuna wasanii wengine kama Burna Boy na Davido ambao walikashifiwa pia kwa kufanya performance za ovyo.
 
Hahaha. πŸ˜€ Sina la ziada kwasababu miziki ya aina hiyo, bongo fleva, huwa haunivutii. Ila kuna wasanii wengine kama Burna Boy na Davido ambao walikashifiwa pia kwa kufanya performance za ovyo.
hawa wametumwa hawa si bure
 
Wasafi hata wakirudi leo Kenya, wakenya watajaa kuwaangalia,,wameteka soko ile mbaya

Tatizo la wasanii wa kenya ni wivu tu unawasumbua,,wadada zao wanwapenda wasafi ile mbaya sasa vidume vinaumie vinaleta chuki binafsi mitandoni
Wakenya hawawezi Rudia Makosa Mara mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…