Poor performance by Wasafi in Nairobi... Twitter reactin

Poor performance by Wasafi in Nairobi... Twitter reactin

Msapere

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,165
Reaction score
1,543
Wasafi really dissapointed.we don't need their concert's anymore. View attachment 983858View attachment 983861View attachment 983859
IMG_20190102_135924.jpeg
View attachment 983860
Screenshot_2019-01-02-13-43-28-92.jpeg
Screenshot_2019-01-02-13-43-05-98.jpeg
Screenshot_2019-01-02-13-41-07-74.jpeg
Screenshot_2019-01-02-13-41-55-66.jpeg
Screenshot_2019-01-02-13-42-05-99.jpeg
Screenshot_2019-01-02-13-55-45-02.jpeg
Screenshot_2019-01-02-13-41-38-69.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wasafi wajifunze kufanya live perfomance.

huwezi kufanya playback juu ya CD na kurukaruka jukwaani kama ndama alafu unajiita performer.

kuna mdau kasema hapo juu kuwa Wasafi walichofanikiwa ni kuweka mitindo ya nywele kama wanawake full stop.

Aibu hii.
 
Wivu kivipi na walilipa hela kutoka kwa mifuko yao? Mbona naona kwenye comment zao wakisifia performance ya wajamaica Morgan Heritage na Naiboi? Wakenya huwa wanatarajia kupata 'value' wakitumia hela zao, sio ule ukondoo wakuchukulia kila kitu freshi tu.
Mbona wamefanya show kubwa kubwa ulaya na kwingineko Africa hatujawai ona coments za hivi.. hawa watakuwa wametumwa na king
 
Wasafi hata wakirudi leo Kenya, wakenya watajaa kuwaangalia,,wameteka soko ile mbaya

Tatizo la wasanii wa kenya ni wivu tu unawasumbua,,wadada zao wanwapenda wasafi ile mbaya sasa vidume vinaumie vinaleta chuki binafsi mitandoni
 
KUNA CLIPS ZIPO instagram jamaa anaimba nje ya key kabisa,nyingine off beat...lalalalalalala
 
Wivu kivipi na walilipa hela kutoka kwa mifuko yao? Mbona naona kwenye comment zao wakisifia performance ya wajamaica Morgan Heritage na Naiboi? Wakenya huwa wanatarajia kupata 'value' wakitumia hela zao, sio ule ukondoo wakuchukulia kila kitu freshi tu.
Midanganyika ni watu wa kusikitisha sana.

BTW hua naona wakijisifia eti waKenya tunawapa pesa show kama hizi zikija nchini. Sijui ni ujamaa, ujinga au uchawi.

Eti pesa alizo pata diamond au msanii yeyote wa TZ ni "yao". Unaeza fikiri wao hugawiwa hizo hela. Midanganyika ni mtu mjinga sana.
 
Mbona wamefanya show kubwa kubwa ulaya na kwingineko Africa hatujawai ona coments za hivi.. hawa watakuwa wametumwa na king
Hahaha. 😀 Sina la ziada kwasababu miziki ya aina hiyo, bongo fleva, huwa haunivutii. Ila kuna wasanii wengine kama Burna Boy na Davido ambao walikashifiwa pia kwa kufanya performance za ovyo.
 
Hahaha. 😀 Sina la ziada kwasababu miziki ya aina hiyo, bongo fleva, huwa haunivutii. Ila kuna wasanii wengine kama Burna Boy na Davido ambao walikashifiwa pia kwa kufanya performance za ovyo.
hawa wametumwa hawa si bure
 
Wasafi hata wakirudi leo Kenya, wakenya watajaa kuwaangalia,,wameteka soko ile mbaya

Tatizo la wasanii wa kenya ni wivu tu unawasumbua,,wadada zao wanwapenda wasafi ile mbaya sasa vidume vinaumie vinaleta chuki binafsi mitandoni
Wakenya hawawezi Rudia Makosa Mara mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom