The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Ahaaaa ahaaaa ahaaa mtu wa hivi ategemee kupata tusi maana watu wengine huwa hawacheleweshi utasikia mjinga niniila kweli inaudhi mtu akupigie afu akuulize "we nani"..kama unataka kujua uliompigia nani si uanze kwa sahamani ninaongea kutoka mahala fulani naitwa fulani..afu ndo uulize jina la huyo mlengwa..hata mi ukiniuliza hivyo nitakuuliza we ulimpigia nani..
imenikumbusha kuna siku nimepata simu akaniuliza we nani nikamwambia ulikuwa umempigia nani akasema mwenye namba hii
nikamwambia ndo mimi.akaniuliza ndo wewe nani sasa...aliniudhi sana mana aliongea kwa hasira...
good phone manners zinaanza kwa mpiga simu ili mpigiwa simu arespond in good manners