Pope anaweza kushitakiwa au kukamatwa?

Pope anaweza kushitakiwa au kukamatwa?

Alvin Slain

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
6,375
Reaction score
3,663
habari za jf?

Nia na madhumuni yangu ni kutaka kujua je kama kiongozi wa kanisa katoliki duniani anaweza kushitakiwa au kukamatwa?

Kwa maana kama sikosei ilikuwa mwaka 2010 kanisa lilikuwa na kesi kule amerka na mwenye kujibu kesi ni papa lakini pope hakuonekana mahakamani wala order yoyote haikutolewa dhidi yake, je sheria zinasemaje?
 
Dunia itageuka juu chini, kwanza nani wa kumkamata? na atamkamatia wapi? Pope ni zaidi ya rais wa America kama ulikuqa hujui haitakuja itokee ktk dunia hii.[ Sheria za jumuia ya madola zinasemaje kuhusu mshika wake? Maana Vatikan yenyewe ni mwanachama wa jumuia hiyo?
 
jamani wenye majb ya uhakika kisheria watusaidie hapa tunufaike
 
Back
Top Bottom