#COVID19 Pope Francis to have COVID-19 vaccine, says it is the ethical choice for all

#COVID19 Pope Francis to have COVID-19 vaccine, says it is the ethical choice for all

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Posts
124,790
Reaction score
288,165

Pope Francis to have COVID-19 vaccine, says it is the ethical choice for all​

By Reuters Staff

VATICAN CITY (Reuters) - Pope Francis said on Saturday he planned to be vaccinated against COVID-19 as early as next week and urged everyone to get a shot, to protect not only their own lives but those of others.

“I believe that ethically everyone should take the vaccine,” the Pope said in an interview with TV station Canale 5. “It is an ethical choice because you are gambling with your health, with your life, but you are also gambling with the lives of others.”

Vatican City, the smallest independent county in the world, home to about 450 people including Pope Francis, has said it will shortly launch its own vaccination campaign against the coronavirus.

“Next week,” the Pope said, “we will start doing it here, in the Vatican, and I have booked myself in. It must be done.”

Pope Francis, 84, had part of one lung removed during an illness when he was a young man in his native Argentina, making him potentially vulnerable to the disease.

Vatican City last week said it expected to receive enough COVID-19 vaccine doses in the following days to inoculate all of its residents and its workers who live beyond its walls in Rome.

As part of its vaccination plan, the Vatican said it had bought an ultra-cold refrigerator to store doses, suggesting it will use the vaccine developed by Pfizer and BioNTech, which must be stored at about minus 70 degrees Celsius (minus 94 Fahrenheit).

As excerpts of the interview were released, the official Vatican News website reported that the pope’s personal doctor, Fabrizio Soccorsi, had died of complications from COVID-19.

Soccorsi, 78, was in hospital and was being treated for cancer. He had been the pope’s doctor since 2015.

Reporting by Crispian Balmer; Writing by Giulio Piovaccari; Editing by Peter Graff and Chizu Nomiyama

Our Standards: The Thomson Reuters Trust Principles.
 
Huwa nawashangaa wanaoshadadia kuamini eti Papa kapigwa chanjo,Waziri mkuu wa uingereza/ujerumani kapigwa chanjo nk, hata akipigwa syringe yenye maji kuzuga mbele ya Camera utajua!?.., Na So fu.cken what?, Papa akipewa chanjo ndo nini?, Kama chanjo inafanya kazi barakoa za nini?, Na mbona waliochanjwa wanazidi kupukutika kama nzige!?
 
Jumapili ataongea nini YULE jamaa kuhusu chanjo?
Papa ambaye ni kiongozi wake mkubwa wa kiroho hapa duniani,amekubali,yeye mtoto wa kiroho atasema nini tena?
Kwani Papa akisema ndo nini!?.. hivi hii hali ya kutojiamini na kuamini kitu kikifanywa na mzungu ndo sahihi huwa inatokana na nini?.. Kwasababu Papa ndo kaamini chanjo ndo watu wote waiamini chanjo?, Unafikiri chanjo atakayopewa Papa ndo hizi zinazotengenezwa specifically kwa ajili ya watu wa Africa?.. kwa taarifa yako JPM anaongea kutetea watu walio wengi yeye kama yeye hata akihitaji chanjo yenye thamani ya Bilioni 1 za kitanzania hashindwi kununua. Hata akiamua kukodi wazungu specialist kadhaa wakae TZ miezi 6 wakimtengenezea chanjo hashindwi. Jaribu kupanua ubongo na kuachana na mawazo ya kitumwa.
 
"Hatupangiwi na mabeberu"
Ira nimeagiza dozi moja kwanza, iri nijaribiwe mimi kwanza tena ije haraka, mimi si ndio rais wa wanyonge? Nataka madaktari wetu bingwa toka dodoma na muhimbili waje kuifanyia uchunguzi chattle. Tusiwaamini mabeberu ndugu zangu. Tanzania hakuna kolona.

Nasema uongo ndugu zangu?
 
Sio kwa huu msako wa Covid 19 Pro Max (Toleo Jipya). Tutasalimu amri muda si mrefu.

Nasema uongo ndugu zanguuu?
Kwa mnaotegemea chanjo toka kwa mzungu mtanyanyua mikono juu muda sio mrefu, Ila sisi wazee wa nyungu tutadunda sana tu. Nyungu haiongopi Ila sababu mmechagua upande wa mzungu ngoja tuone mwisho wa hii mechi utakuwaje.
 
Ngoja ivamie pale ofisi zenu za lumumba au chamwino ichomoke na mmoja wenu hata na Prof Polepole hivi, au yule boya aliosema "Gadafi alikua rais wa Kuwait". Mtazikimbia ofisi na ndio akili zitawakaa sawa.

Nyungu zitageuka vibuyu.
 
Kwani Papa akisema ndo nini!?.. hivi hii hali ya kutojiamini na kuamini kitu kikifanywa na mzungu ndo sahihi huwa inatokana na nini?.. Kwasababu Papa ndo kaamini chanjo ndo watu wote waiamini chanjo?, Unafikiri chanjo atakayopewa Papa ndo hizi zinazotengenezwa specifically kwa ajili ya watu wa Africa?.. kwa taarifa yako JPM anaongea kutetea watu walio wengi yeye kama yeye hata akihitaji chanjo yenye thamani ya Bilioni 1 za kitanzania hashindwi kununua. Hata akiamua kukodi wazungu specialist kadhaa wakae TZ miezi 6 wakimtengenezea chanjo hashindwi. Jaribu kupanua ubongo na kuachana na mawazo ya kitumwa.
Mkuu umeishia darasa la ngapi ? una akili nyingi mno !
 
Huwa nawashangaa wanaoshadadia kuamini eti Papa kapigwa chanjo,Waziri mkuu wa uingereza/ujerumani kapigwa chanjo nk, hata akipigwa syringe yenye maji kuzuga mbele ya Camera utajua!?.., Na So fu.cken what?, Papa akipewa chanjo ndo nini?, Kama chanjo inafanya kazi barakoa za nini?, Na mbona waliochanjwa wanazidi kupukutika kama nzi
Ewe maamuma unafahamu hapo ulipo una chanjo ya ndui, pepopunda, kifaduro na polio..
Labda kama umezaliwa 2000's.
 
Ujinga ni nini?
Ujinga ni kutoa ndege kwenda Madagascar kuchukua juice ya waganga wa kienyeji ili kuja kutibu na kukinga watu na Corona hapo hapo ukipinga chanjo zingine za Corona zilizofanyiwa tafiti za kisayansi duniani.
 
Aiseeee !!
 
Wafuasi wa Mbowe leo mmeitana toka mafichoni kujadili chanjo ya Corona against JPM. Huwa hamtumii akili ndo maana wengi tulifurahia mlivyonyamazishwa kwenye uchaguzi uliopita. Mna kelele sana Ila uzuri zinaishiaga nyuma ya keyboards basi.
 
Kama wameweza kutumia watu wenye ushawishi mkubwa duniani ku promote ushoga...

Hawatashindwa kwenye hili la Covid19...

Cc: mahondaw
 
Pope angetaka kusaidia angeshawishi nchi tajiri wasihodhi chanjo ili na nchi zingine duniani wapate kwa wakati. Lakini hafanyi hivyo, sasa tumuelewaje?
 
Back
Top Bottom