#COVID19 Pope Francis to have COVID-19 vaccine, says it is the ethical choice for all

Pope Francis has spoken truth and Fact , I get wonders when peoples are criticized him in the initial things.
 
Pope Francis has spoken truth and Fact , I get wonders when peoples are criticized him in the initial things.
Hao ni waasi mkuu,ndio zao,angepinga chanjo pia angetengenezewa uzi na Watu wangemsema vibaya pia.Ngozi nyeusi hatuna jema acha tufe tu.
 
Pope angetaka kusaidia angeshawishi nchi tajiri wasihodhi chanjo ili na nchi zingine duniani wapate kwa wakati. Lakini hafanyi hivyo, sasa tumuelewaje?

Ulitaka wao watujali sisi zaidi ya watu wao? Huoni yanayoendelea chattle?

Wafanye hayo huku tukinunua madege na kuwasimanga?

Akili hizi zitapokuwa ni za Lumumba tu.

Ng'ara Magufuli ng'ara !!!!!!

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Pope angetaka kusaidia angeshawishi nchi tajiri wasihodhi chanjo ili na nchi zingine duniani wapate kwa wakati. Lakini hafanyi hivyo, sasa tumuelewaje?
 

Hii ya Magufuli na genge lake la kujaribu kutuaminisha kuwa wao ni wakatoliki zaidi kuliko Papa haina tofauti na kutega kunguru chambo kikiwa maharage makavu.

"Yaani mnajifanya kumpenda mtoto kuliko hata mama yake? Halafu mnategemea tuwasadiki? Aaaah Wapi.

Hatudanganyiki!

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Ujue kondoo anaweza akawa Na akili kuliko wewe
 


This is one of the covid vaccines agenda holders. Who doesn't know?
 
JPM anaongea kwaajili ya watu wengi wa Tanzania,unasahau Papa naye anaongea kwaajili ya watu tena wa dunia yote,akiwemo JPM ambaye ni mtoto wa Papa kiroho,tanua mawazo ndugu.
 
Yes I'm devoted Catholic ,Kuna shida kwani???.
Hujamwelewa vizuri, kuna yule bwana anatembea na camera kila jumapili kwenye nyumba za ibada huku akisema Tz hakuna corona kwani Mungu katuponya, sasa mwenye Kanisa lake kasema watu watumie chanjo ili kujilinda na kulinda wengine.
 
No research no right to speak...
 
Ule waraka wa maaskofu katoliki ulisema kuwa tulifanikiwa kudhibiti corona mwaka jana kwa kufuata ushauri wa wataalamu na kumuomba Mungu,sasa sijui wengine wanafeli wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…