Popobawa: Ukweli ni upi?!

jay john

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2016
Posts
429
Reaction score
251


Hivi huyu kiumbe alikuwepo kweli au no story tuu za mtaani? Kuna watu walipitiwa kweli au?
 
Popobawa ( pegasus) ni kiumbe wa kufikirika ( imaginary creature) ambaye anahisiwa kuwa na umbo kama farasi na mbawa mithili ya popo,( bat) si kitu halisi Bali kiumbe kilichojijenga katika fikra za watu kupitia uanikishaji wa maumbo kwenye fikra ( simple amprehension).
Popobawa ni imani ya kifikra tu.
 
HV ni kweli popobawa yupo?aliowapitia mje mtoe ushuhuda.
 
Ni imani tu, wakati wa kipindi cha joto hali huwa tete, yaani joto sana jasho kwenda mbele mpaka makalio katikati yanatoa jasho basi lile jasho watu wanakuwa na fikra kuwa popobawa kawamwagia shahawa! Stori za popobawa zilikuwaga msimu wa joto kali tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…