Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ngoja mshana jr aje maana alishawahi kuonana nae laivu pale Sinza Morivp una ushuhuda wowote utuambie Mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukienda mitaa iliyopitiwa na dege hilo wengi wa vijana kwa sasa ni mapunga
Nadhani alipita mitaa ya Lumumba maana wamejitahidi kutoa mapunga hata humu jf yamoUkienda mitaa iliyopitiwa na dege hilo wengi wa vijana kwa sasa ni mapunga
[emoji23][emoji23][emoji23].mkuu ww ungesema au ungekausha?Kila enzi na matukio yake enzi utawala wa Ben kulizuka taarifa za kuwepo kiumbe ambacho kiliitwa Popobawa huyu kiumbe alikuwa anawaingilia watu kinyume na maumbile hasa wanaume ndo aliwapenda zaidi. Kibaya zaidi inasemekana akishakuchafua ucku lazima asubuhi umwambie mtu la sivyo Night anakuja tena. Hiki kiumebe kilisunbua akili za watu sana. Sasa kama ungekuwepo zama zile na jamaa akakufumua marinda ungesema au ungekaa kimya?
Ni miaka 2006 au 2007 hvPopobawa alikuwa ni jini wa kutengeneza. Na alikuwa na jicho moja kwa mujibu wa watu ambao walimuona. Enzi hizo tulilala nje sana tu nakumbuka