Popobawa: Ukweli ni upi?!

Popobawa: Ukweli ni upi?!

Popobawa alikuwa ni jini wa kutengeneza. Na alikuwa na jicho moja kwa mujibu wa watu ambao walimuona. Enzi hizo tulilala nje sana tu nakumbuka
 
Kila enzi na matukio yake enzi utawala wa Ben kulizuka taarifa za kuwepo kiumbe ambacho kiliitwa Popobawa huyu kiumbe alikuwa anawaingilia watu kinyume na maumbile hasa wanaume ndo aliwapenda zaidi. Kibaya zaidi inasemekana akishakuchafua ucku lazima asubuhi umwambie mtu la sivyo Night anakuja tena. Hiki kiumebe kilisunbua akili za watu sana. Sasa kama ungekuwepo zama zile na jamaa akakufumua marinda ungesema au ungekaa kimya?
 
Hakuna cha popobawa wala nini ujinga tu ulikiwa unasumbua watu.
 
Alitulaza macho enzi hizo na magazeti enzi hizo yalijua kutupump.
 
Kufuga fuga mavitu yasiyofaa ,Mwisho wa siku Mmiliki akifariki yanatawanyika na kuleta sintofahamu mtaani.
 
Kila enzi na matukio yake enzi utawala wa Ben kulizuka taarifa za kuwepo kiumbe ambacho kiliitwa Popobawa huyu kiumbe alikuwa anawaingilia watu kinyume na maumbile hasa wanaume ndo aliwapenda zaidi. Kibaya zaidi inasemekana akishakuchafua ucku lazima asubuhi umwambie mtu la sivyo Night anakuja tena. Hiki kiumebe kilisunbua akili za watu sana. Sasa kama ungekuwepo zama zile na jamaa akakufumua marinda ungesema au ungekaa kimya?
[emoji23][emoji23][emoji23].mkuu ww ungesema au ungekausha?
 
Hko kiumbe kiliwafanya watu walale Hali ya kuwa wamefunga mito matakon
 
Bujibuji , hiyo picha inatisha , kumbe popobawa ana mashine ya kutisha .
 
Back
Top Bottom