J Mbungi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 269
- 74
Wapendwa wanajamii..Mtu yeyote mwenye kujua zinakouzwa machine za kutengeneza bisi zinakouzwa au mwenye yuko nayo..Tafadhali tuwailiane.. Nahitaka Ni ambie na bei ni kiasi gani( Unaweza Kuni PM namba yako nikakupigia)
Alafu nasikia zipo za kutumia umeme na za kutumia GESI..Tafadhali mwenye kujua anisaidie na bei zake.. Ahsante..!
Alafu nasikia zipo za kutumia umeme na za kutumia GESI..Tafadhali mwenye kujua anisaidie na bei zake.. Ahsante..!