Wapendwa wanajamii..Mtu yeyote mwenye kujua zinakouzwa machine za kutengeneza bisi zinakouzwa au mwenye yuko nayo..Tafadhali tuwailiane.. Nahitaka Ni ambie na bei ni kiasi gani( Unaweza Kuni PM nambmba yako nikakupigia)
Alafu nasikia zipo za kutumia umeme na za kutumia GESI..Tafadhali mwenye kujua anisaidie na bei zake.. Ahsante..!
@jmbugi....ukija amuaa kutaka kuwa na mashine/jiko la kutengenezea burger nistue nnazo mbili kubwa na ndogo nauza zote kwa pamoja mkuu
Weka picha na bei mkuu@jmbugi....ukija amuaa kutaka kuwa na mashine/jiko la kutengenezea burger nistue nnazo mbili kubwa na ndogo nauza zote kwa pamoja mkuu