Anaitwa Fatma Chikawe. Hapo kabla alikuwa mtangazaji kwenye kituo cha Times FM 100.5Kuna huyu Dada Fatma Chikawa( kama nimekosea jina basi tusamehane) reporter wa Azam Sports kule mapinduzi cup ,yani huyu Dada ananiacha hoji mimi mtoto wa wawanamke wanzake ,popote ulipo naomba usikie kilio changu,yaani ninapokuona kwenye TV ukiongea basi moyo wangu unafarijika saa ,I salute you my sister bigup.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora umeandika kwa ni Mke wa mtu fulaniAnaitwa Fatma Chikawe. Hapo kabla alikuwa mtangazaji kwenye kituo cha Times FM 100.5
Ni mke wa Ustadhi Kichuna.
View attachment 990564
Mkuu, tahadhari ni jambo jema
IdiotKuna huyu Dada Fatma Chikawa( kama nimekosea jina basi tusamehane) reporter wa Azam Sports kule mapinduzi cup ,yani huyu Dada ananiacha hoji mimi mtoto wa wawanamke wanzake ,popote ulipo naomba usikie kilio changu,yaani ninapokuona kwenye TV ukiongea basi moyo wangu unafarijika saa ,I salute you my sister bigup.
Sent using Jamii Forums mobile app