Popote alipo na kama ananisikia basi saluti kwake

proxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
1,479
Reaction score
1,348
Kuna huyu Dada Fatma Chikawa( kama nimekosea jina basi tusamehane) reporter wa Azam Sports kule mapinduzi cup ,yani huyu Dada ananiacha hoji mimi mtoto wa wawanamke wanzake ,popote ulipo naomba usikie kilio changu,yaani ninapokuona kwenye TV ukiongea basi moyo wangu unafarijika saa ,I salute you my sister bigup.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaitwa Fatma Chikawe. Hapo kabla alikuwa mtangazaji kwenye kituo cha Times FM 100.5
Ni mke wa Ustadhi Kichuna.
Screenshot_2019-01-09-22-30-34.jpg
 
Umenikumbusha enzi za mackline mdoe

Sent using Damu ya Yesu
 
Kuna huyu Dada Fatma Chikawa( kama nimekosea jina basi tusamehane) reporter wa Azam Sports kule mapinduzi cup ,yani huyu Dada ananiacha hoji mimi mtoto wa wawanamke wanzake ,popote ulipo naomba usikie kilio changu,yaani ninapokuona kwenye TV ukiongea basi moyo wangu unafarijika saa ,I salute you my sister bigup.

Sent using Jamii Forums mobile app
Idiot
 
Back
Top Bottom