Popote inaingia

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,730
Reaction score
9,088
Land alienation

Forced Labour

Low wages

Poor technology

Poor infrastructure

Lack of education

Unemployment

Taxation

Yan hizi point zimewafikisha watu chuo kikuu, huwa hazikataagi swali hata kama unaelezea issue ya Kibiti
 
ngozi nyeusi nuksi.... haya yote yanafanyika Africa.
 
Land alienation

Forced Labour

Low wages

Poor technology

Poor infrastructure

Lack of education

Unemployment

Taxation

Yan hizi point zimewafikisha watu chuo kikuu, huwa hazikataagi swali hata kama unaelezea issue ya Kibiti
Yani umenichekesha saana saana saaana.
Ila ni kweli kabisa.
Jana nilikuwa natazama movie flani nikawaza wenzetu vyuoni wanakuwa na clubs mbalimbali ambazo ziko so active na watu wana compete kuingia

Sisi huku sijaona na kama zipo haziko active na si lazima mtu kuwa member nadhani hizi clubs uwa zinawasaidia wanafunzi kuongeza weledi
 
Well said
 
Daahhh long time...uko vzur

Sent from my TECNO_N9 using JamiiForums mobile app
 
Land alienation

Forced Labour

Low wages

Poor technology

Poor infrastructure

Lack of education

Unemployment

Taxation

Yan hizi point zimewafikisha watu chuo kikuu, huwa hazikataagi swali hata kama unaelezea issue ya Kibiti

Baada ya kuona kichwa cha habari, nilifikiri ungezungumzia mambo yetu yale ya 'kugegedana,' kumbe ni ishu isiyo na mshiko? Kudadadeki, humu mi simo...nasepa yuleeeeeeee!
 
Land alienation

Forced Labour

Low wages

Poor technology

Poor infrastructure

Lack of education

Unemployment

Taxation

Yan hizi point zimewafikisha watu chuo kikuu, huwa hazikataagi swali hata kama unaelezea issue ya Kibiti
[emoji1] ukweli mtupu hasa waalimu wa sanaa wanaohangaika na bahasha mikononi sasa..

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Land alienation

Forced Labour

Low wages

Poor technology

Poor infrastructure

Lack of education

Unemployment

Taxation

Yan hizi point zimewafikisha watu chuo kikuu, huwa hazikataagi swali hata kama unaelezea issue ya Kibiti
Kwa hyo Mzee unamaanisha kuwa hata Lipumba alifka Univ' kwa point hzo

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Tuwekeeni kwa kiswahili na sisi wa La Saba B tujue
 
Unaweza kuwa unatumia Dell latitude 610 d series lakn unaona WA techno boya et.!!!

Sent from my X510 using JamiiForums mobile app
Tafadhali soma na usitanie Mungu amekuona unasumbuka na kitu fulani na amesema matatizo yote yameisha, na anakuja ktk njia yako na kukubariki na kama unaamini watumie watu sms hii na usitanie haya ni majaribu, na Mungu atakutengenezea vitu viwili vikubwa leo unavyovipenda kama unaamin acha vitu vyako vyote unavyovifanya na tuma hii sms kwa watu 25 kwa dakika 30 halafu utaona kesho ni cku nzuri ktk maisha yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…