Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ngozi nyeusi nuksi.... haya yote yanafanyika Africa.Land alienation
Forced Labour
Low wages
Poor technology
Poor infrastructure
Lack of education
Unemployment
Taxation
Yan hizi point zimewafikisha watu chuo kikuu, huwa hazikataagi swali hata kama unaelezea issue ya Kibiti
Yani umenichekesha saana saana saaana.Land alienation
Forced Labour
Low wages
Poor technology
Poor infrastructure
Lack of education
Unemployment
Taxation
Yan hizi point zimewafikisha watu chuo kikuu, huwa hazikataagi swali hata kama unaelezea issue ya Kibiti
Well saidYani umenichekesha saana saana saaana.
Ila ni kweli kabisa.
Jana nilikuwa natazama movie flani nikawaza wenzetu vyuoni wanakuwa na clubs mbalimbali ambazo ziko so active na watu wana compete kuingia
Sisi huku sijaona na kama zipo haziko active na si lazima mtu kuwa member nadhani hizi clubs uwa zinawasaidia wanafunzi kuongeza weledi
Kabisangozi nyeusi nuksi.... haya yote yanafanyika Africa.
Land alienation
Forced Labour
Low wages
Poor technology
Poor infrastructure
Lack of education
Unemployment
Taxation
Yan hizi point zimewafikisha watu chuo kikuu, huwa hazikataagi swali hata kama unaelezea issue ya Kibiti
Kugegedana nenda jukwaa la mwisho.!Baada ya kuona kichwa cha habari, nilifikiri ungezungumzia mambo yetu yale ya 'kugegedana,' kumbe ni ishu isiyo na mshiko? Kudadadeki, humu mi simo...nasepa yuleeeeeeee!
[emoji1] ukweli mtupu hasa waalimu wa sanaa wanaohangaika na bahasha mikononi sasa..Land alienation
Forced Labour
Low wages
Poor technology
Poor infrastructure
Lack of education
Unemployment
Taxation
Yan hizi point zimewafikisha watu chuo kikuu, huwa hazikataagi swali hata kama unaelezea issue ya Kibiti
Kwa hyo Mzee unamaanisha kuwa hata Lipumba alifka Univ' kwa point hzoLand alienation
Forced Labour
Low wages
Poor technology
Poor infrastructure
Lack of education
Unemployment
Taxation
Yan hizi point zimewafikisha watu chuo kikuu, huwa hazikataagi swali hata kama unaelezea issue ya Kibiti
Soon zitafahamika email ze2 kabla ya majinaJamani hizo tecno vepe...?
Unaweza kuwa unatumia Dell latitude 610 d series lakn unaona WA techno boya et.!!!Jamani hizo tecno vepe...?
Tafadhali soma na usitanie Mungu amekuona unasumbuka na kitu fulani na amesema matatizo yote yameisha, na anakuja ktk njia yako na kukubariki na kama unaamini watumie watu sms hii na usitanie haya ni majaribu, na Mungu atakutengenezea vitu viwili vikubwa leo unavyovipenda kama unaamin acha vitu vyako vyote unavyovifanya na tuma hii sms kwa watu 25 kwa dakika 30 halafu utaona kesho ni cku nzuri ktk maisha yako.Unaweza kuwa unatumia Dell latitude 610 d series lakn unaona WA techno boya et.!!!
Sent from my X510 using JamiiForums mobile app