GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
[emoji23] [emoji23] [emoji23]PM ndio sababu kuu huwafanya watu wachukiane hata kama hawafahamiani
husabaisha watu kuja na ID MPYA kwa sababu zile za awali wamesha haribu
[HASHTAG]#punguzamatumiziyaPM[/HASHTAG]
Watakuja kujibu tuhuma hizi
Sahihi kuna ukweli flani hivi.PM ndio sababu kuu huwafanya watu wachukiane hata kama hawafahamiani
husabaisha watu kuja na ID MPYA kwa sababu zile za awali wamesha haribu
[HASHTAG]#punguzamatumiziyaPM[/HASHTAG]
Fact..PM ndio sababu kuu huwafanya watu wachukiane hata kama hawafahamiani
husabaisha watu kuja na ID MPYA kwa sababu zile za awali wamesha haribu
[HASHTAG]#punguzamatumiziyaPM[/HASHTAG]
Post zenu nyingi zinaboa siku hizi,ndio maana wamepotea...miss chagga
Mussolin5
Nifah
UncleBen
kadoda11
MUSSA ALLAN
Evelyn Salt
Na mkishajitokeza nitaomba majibu au sababu za msingi na maana ya kwamba ni kwanini siku hizi mmepotea humu ' Jamvini ' wakati mnajua fika kuwa nyie ni baadhi ya ' Members ' ambao mnahitajika sana kuwepo humu mara kwa mara kutokana na umuhimu wenu mkubwa.
Sasa ole wenu msije na majibu ya maana ' mtanitambua '.
Nawapenda na nawakubali mno ila nasikitika mmepotea sana humu. au kuna tulichowakosea labda ili tuwaombeni radhi?
Umenifanya nicheke ujue....PM ndio sababu kuu huwafanya watu wachukiane hata kama hawafahamiani
husabaisha watu kuja na ID MPYA kwa sababu zile za awali wamesha haribu
[HASHTAG]#punguzamatumiziyaPM[/HASHTAG]
Mhnh....shkamoo mapenzi..