Popote mlipo na upesi sana wafuatao nawaomba mjitokeze humu JF haraka sana vinginevyo...

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
miss chagga
Mussolin5
Nifah
UncleBen
kadoda11
MUSSA ALLAN
Evelyn Salt

Na mkishajitokeza nitaomba majibu au sababu za msingi na maana ya kwamba ni kwanini siku hizi mmepotea humu ' Jamvini ' wakati mnajua fika kuwa nyie ni baadhi ya ' Members ' ambao mnahitajika sana kuwepo humu mara kwa mara kutokana na umuhimu wenu mkubwa.

Sasa ole wenu msije na majibu ya maana ' mtanitambua '.

Nawapenda na nawakubali mno ila nasikitika mmepotea sana humu. au kuna tulichowakosea labda ili tuwaombeni radhi?
 
PM ndio sababu kuu huwafanya watu wachukiane hata kama hawafahamiani
husabaisha watu kuja na ID MPYA kwa sababu zile za awali wamesha haribu
[HASHTAG]#punguzamatumiziyaPM[/HASHTAG]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sky Eclat....yupo pia nisipo muona jamvini hua nakosa raha..im addicted to her..

Post sent using JamiiForums mobile app
 
miss chagga
Mussolin5
Nifah
UncleBen
kadoda11
MUSSA ALLAN
Evelyn Salt

Na mkishajitokeza nitaomba majibu au sababu za msingi na maana ya kwamba ni kwanini siku hizi mmepotea humu ' Jamvini ' wakati mnajua fika kuwa nyie ni baadhi ya ' Members ' ambao mnahitajika sana kuwepo humu mara kwa mara kutokana na umuhimu wenu mkubwa.

Sasa ole wenu msije na majibu ya maana ' mtanitambua '.

Nawapenda na nawakubali mno ila nasikitika mmepotea sana humu. au kuna tulichowakosea labda ili tuwaombeni radhi?
Post zenu nyingi zinaboa siku hizi,ndio maana wamepotea...

Sony Z3
 
Back
Top Bottom