Popote mlipo na upesi sana wafuatao nawaomba mjitokeze humu JF haraka sana vinginevyo...

miss chagga
Mussolin5
Nifah
UncleBen
kadoda11
MUSSA ALLAN
Evelyn Salt

Na mkishajitokeza nitaomba majibu au sababu za msingi na maana ya kwamba ni kwanini siku hizi mmepotea humu ' Jamvini ' wakati mnajua fika kuwa nyie ni baadhi ya ' Members ' ambao mnahitajika sana kuwepo humu mara kwa mara kutokana na umuhimu wenu mkubwa.

Sasa ole wenu msije na majibu ya maana ' mtanitambua '.

Nawapenda na nawakubali mno ila nasikitika mmepotea sana humu. au kuna tulichowakosea labda ili tuwaombeni radhi?
Unaandika upumbava tyu xaxa
 
Wanatafta kiki hata kwa pikipiki au kwa baiskeli ya muuza madafu

Sent from my SM-G950FD using JamiiForums mobile app
 
miss chagga
Mussolin5
Nifah
UncleBen
kadoda11
MUSSA ALLAN
Evelyn Salt

Na mkishajitokeza nitaomba majibu au sababu za msingi na maana ya kwamba ni kwanini siku hizi mmepotea humu ' Jamvini ' wakati mnajua fika kuwa nyie ni baadhi ya ' Members ' ambao mnahitajika sana kuwepo humu mara kwa mara kutokana na umuhimu wenu mkubwa.

Sasa ole wenu msije na majibu ya maana ' mtanitambua '.

Nawapenda na nawakubali mno ila nasikitika mmepotea sana humu. au kuna tulichowakosea labda ili tuwaombeni radhi?
Nimerejea Kamarada!!
 
Back
Top Bottom