Popote pale alipo huyu Member Daudi Mchambuzi naomba ajitokeze kwani kapotea mno hapa JamiiForums

Popote pale alipo huyu Member Daudi Mchambuzi naomba ajitokeze kwani kapotea mno hapa JamiiForums

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
On a serious note jamani kuna yeyote mwenye taarifa zozote za Kuadimika Kwake kusiko kwa Kawaida hapa JamiiForums kwa Member (Mwanachama Mwandamizi) Daudi Mchambuzi?

Ni Mmoja wa Marafiki zangu Wakubwa sana hapa JamiiForums kama walivyo Wengine wengi tu wakiongozwa na adriz, Shunie, Bila bila, cocastic na etc.

Nitashukuru zaidi nikijua yuko mzima.
 
Angekuwa amekufa tungejua ila ukiona yupo kimya ujue yupo hai sema majukumu ndo yamekuwa mengi.
Au kaipumzisha ID yenye jina hilo na anatumia ID nyingine.
 
Daudi Mchambuzi said

Ndipo makada wakajipiga vifua na kugalagala
kwenye mavumbi kama chatu huku wakisema,
"ewe Sizonje tuchukue utumwani milele"
Lumumba 4 : 5-13
 
Back
Top Bottom