On a serious note jamani kuna yeyote mwenye taarifa zozote za Kuadimika Kwake kusiko kwa Kawaida hapa JamiiForums kwa Member (Mwanachama Mwandamizi) Daudi Mchambuzi?
Ni Mmoja wa Marafiki zangu Wakubwa sana hapa JamiiForums kama walivyo Wengine wengi tu wakiongozwa na adriz, Shunie, Bila bila, cocastic na etc.
Angekuwa amekufa tungejua ila ukiona yupo kimya ujue yupo hai sema majukumu ndo yamekuwa mengi.
Au kaipumzisha ID yenye jina hilo na anatumia ID nyingine.