Weraaa [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] weraaaaAlipokuwa Mkeo HUKUMTHAMINI, Ulimpiga
ulipojisikia, Ulimsimanga kwa Maneno ya Dhihaka
kwamba ANAJIONA MZURI SANA, na hata alipochoka
akaamua kuondoka ulimsindikiza na Matusi kwamba
HUJALI KUONDOKA KWAKE utapata mwingine zaidi
yake.. Sasa ameolewa kwa Jirani AMENAWIRI unaanza kummezea Mate upya na kuanza kufanya
Visa... Nasikia ETI Umemtengea FUNGU kuhakikisha
Unampata... Kwanini utumie nguvu kubwa leo wakati
alipokuwa kwenye Himaya yako Uliona WA KAZI
GANI???
Leo kapata anayemthamini na kumpa raha
ndo unamuona wa thamani?? Ulisema HUPENDI KABISA KATUNI hata upewe Bure HUTAKI, Itachafua
Sebule yako tu, Leo kimekusibu nini Unatoa MILIONI 15
kununulia KATUNI ambayo ulisema HAINA MVUTO
Mwaka Mmoja tu Uliopita??
Mimi ni mwanaume, kama na wewe ni mwanaume utakuwa umejishushia. Uzi kama huu unatakiwa uletwe na mwanamke.Kwani wewe jinsia gani?
Kwenye kilele binamuNaona Umefikishwa
Aisee hii ni zaidi ya laanaLabda huu ujumbe uwafikie wale wote ambao wamepata wapenzi wanawapenda sana na awanajitolea kwao.. lakin wao wanajiona miungu watu na kuanza kudharau na kuwafanyia wapenzi wao yasiyo faa. Niwaambie tu.. yatawakuta mabaya na makubwa ... maana malipo ni hapa hapa duniani
hill and portion Na Sonia G Njooni mumjibu huyuhebu fungukeni kidogo
mara sadifa
mara mbunge
mara sijui nini huko
Salamu zisha mfikia mlengwa kazi kwake kupepeta[emoji28]Alipokuwa Mkeo HUKUMTHAMINI, Ulimpiga