Popote Ulipo Hii Itakufikia Tu..!!

Popote Ulipo Hii Itakufikia Tu..!!

Alipokuwa Mkeo HUKUMTHAMINI, Ulimpiga
ulipojisikia, Ulimsimanga kwa Maneno ya Dhihaka
kwamba ANAJIONA MZURI SANA, na hata alipochoka
akaamua kuondoka ulimsindikiza na Matusi kwamba
HUJALI KUONDOKA KWAKE utapata mwingine zaidi
yake.. Sasa ameolewa kwa Jirani AMENAWIRI unaanza kummezea Mate upya na kuanza kufanya
Visa... Nasikia ETI Umemtengea FUNGU kuhakikisha
Unampata... Kwanini utumie nguvu kubwa leo wakati
alipokuwa kwenye Himaya yako Uliona WA KAZI
GANI???
Leo kapata anayemthamini na kumpa raha
ndo unamuona wa thamani?? Ulisema HUPENDI KABISA KATUNI hata upewe Bure HUTAKI, Itachafua
Sebule yako tu, Leo kimekusibu nini Unatoa MILIONI 15
kununulia KATUNI ambayo ulisema HAINA MVUTO
Mwaka Mmoja tu Uliopita??
Weraaa [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] weraaaa
 
Ila mtaani kwako nahisi huwa wanakukoma, nadhani unachamba kuanzia jirani hadi balozi
 
hebu fungukeni kidogo
mara sadifa
mara mbunge
mara sijui nini huko
 
Labda huu ujumbe uwafikie wale wote ambao wamepata wapenzi wanawapenda sana na awanajitolea kwao.. lakin wao wanajiona miungu watu na kuanza kudharau na kuwafanyia wapenzi wao yasiyo faa. Niwaambie tu.. yatawakuta mabaya na makubwa ... maana malipo ni hapa hapa duniani
 
Aisee hii ni zaidi ya laana
 
Alipokuwa Mkeo HUKUMTHAMINI, Ulimpiga
ulipojisikia, Ulimsimanga kwa Maneno ya Dhihaka
kwamba ANAJIONA MZURI SANA, na hata alipochoka
akaamua kuondoka ulimsindikiza na Matusi kwamba
HUJALI KUONDOKA KWAKE utapata mwingine zaidi
yake.. Sasa ameolewa kwa Jirani AMENAWIRI unaanza kummezea Mate upya na kuanza kufanya
Visa... Nasikia ETI Umemtengea FUNGU kuhakikisha
Unampata... Kwanini utumie nguvu kubwa leo wakati
alipokuwa kwenye Himaya yako Uliona WA KAZI
GANI???
Leo kapata anayemthamini na kumpa raha
ndo unamuona wa thamani?? Ulisema HUPENDI KABISA KATUNI hata upewe Bure HUTAKI, Itachafua
Sebule yako tu, Leo kimekusibu nini Unatoa MILIONI 15
kununulia KATUNI ambayo ulisema HAINA MVUTO
Mwaka Mmoja tu Uliopita??
Salamu zisha mfikia mlengwa kazi kwake kupepeta[emoji28]
 
Back
Top Bottom