Mimi ni mwanaume, kama na wewe ni mwanaume utakuwa umejishushia. Uzi kama huu unatakiwa uletwe na mwanamke.
Kujua mwenzio alikosea wapi ndani ya ndoa ni vigumu sana, wanaojua makosa na mapungufu ya ndoa ni wanandoa wenyewe. Au unataka kusema yeye aliolewa halafu akaachika?Sio kweli, kuna wanaume wajitambua. Kuona pale mwenzao alipokosea
Hapo nakumbuka ule wimbo usemao TULIZALIWA WOTE KIJIJI KIMOJA,LAKINI HUKUTAKA KUNIOA KWA SABABU,ULISEMA SINA TABIA NZURI.SASA NIMEOLEWA UNAANZA KULETA MANENO NA CHOKOCHOKO ETI UNIOE,UNIVURUGIE
JIBU LIKAWA
NINACHOJALI NI UTU PIA NA HESHIMA KWA MUME WANGU,KAMA UNACHORINGIA NI PESA MIMI SINA HAJA NAZO,NINACHOJALI NI UTU PIA NA HESHIMA KWA MUME WANGU
USIFIKIRI NIMESHA SAHAU KASHIFA NA VITENDO VYAKO
wadada tafuteni haka na wimbo ka long time kana wosia mzuri
Stunter unajua kuwatega.... Unajichagulia tu hapo nyavu imejaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Alipokuwa Mkeo HUKUMTHAMINI, Ulimpiga
ulipojisikia, Ulimsimanga kwa Maneno ya Dhihaka
kwamba ANAJIONA MZURI SANA, na hata alipochoka
akaamua kuondoka ulimsindikiza na Matusi kwamba
HUJALI KUONDOKA KWAKE utapata mwingine zaidi
yake.. Sasa ameolewa kwa Jirani AMENAWIRI unaanza kummezea Mate upya na kuanza kufanya
Visa... Nasikia ETI Umemtengea FUNGU kuhakikisha
Unampata... Kwanini utumie nguvu kubwa leo wakati
alipokuwa kwenye Himaya yako Uliona WA KAZI
GANI???
Leo kapata anayemthamini na kumpa raha
ndo unamuona wa thamani?? Ulisema HUPENDI KABISA KATUNI hata upewe Bure HUTAKI, Itachafua
Sebule yako tu, Leo kimekusibu nini Unatoa MILIONI 15
kununulia KATUNI ambayo ulisema HAINA MVUTO
Mwaka Mmoja tu Uliopita??
kweli! nyavu imejaaStunter unajua kuwatega.... Unajichagulia tu hapo nyavu imejaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]