Popote Ulipo Hii Itakufikia Tu..!!

Popote Ulipo Hii Itakufikia Tu..!!

Hapo nakumbuka ule wimbo usemao TULIZALIWA WOTE KIJIJI KIMOJA,LAKINI HUKUTAKA KUNIOA KWA SABABU,ULISEMA SINA TABIA NZURI.SASA NIMEOLEWA UNAANZA KULETA MANENO NA CHOKOCHOKO ETI UNIOE,UNIVURUGIE

JIBU LIKAWA

NINACHOJALI NI UTU PIA NA HESHIMA KWA MUME WANGU,KAMA UNACHORINGIA NI PESA MIMI SINA HAJA NAZO,NINACHOJALI NI UTU PIA NA HESHIMA KWA MUME WANGU

USIFIKIRI NIMESHA SAHAU KASHIFA NA VITENDO VYAKO

wadada tafuteni haka na wimbo ka long time kana wosia mzuri
 
Sio kweli, kuna wanaume wajitambua. Kuona pale mwenzao alipokosea
Kujua mwenzio alikosea wapi ndani ya ndoa ni vigumu sana, wanaojua makosa na mapungufu ya ndoa ni wanandoa wenyewe. Au unataka kusema yeye aliolewa halafu akaachika?
 
Nimesiikia kishindo cha jiwe ulilotupa gizani Stunter! Bado sijajua mlengwa nani! ! Nasubiri kusikia kilio cha lililompata au sauti za wasamaria wakisema wamemuona mjeruhiwa!Hakika leo umekuja kifasihi zaidi!!! Bado natafakari chanzo cha mabadiliko yako! Ila huwa nakukubali kinoma!
 
Huu wimbo nimeusikia jumapili hii iliyopita. Ni wimbo Wa nani wadau!?
Hapo nakumbuka ule wimbo usemao TULIZALIWA WOTE KIJIJI KIMOJA,LAKINI HUKUTAKA KUNIOA KWA SABABU,ULISEMA SINA TABIA NZURI.SASA NIMEOLEWA UNAANZA KULETA MANENO NA CHOKOCHOKO ETI UNIOE,UNIVURUGIE

JIBU LIKAWA

NINACHOJALI NI UTU PIA NA HESHIMA KWA MUME WANGU,KAMA UNACHORINGIA NI PESA MIMI SINA HAJA NAZO,NINACHOJALI NI UTU PIA NA HESHIMA KWA MUME WANGU

USIFIKIRI NIMESHA SAHAU KASHIFA NA VITENDO VYAKO

wadada tafuteni haka na wimbo ka long time kana wosia mzuri
 
Alipokuwa Mkeo HUKUMTHAMINI, Ulimpiga
ulipojisikia, Ulimsimanga kwa Maneno ya Dhihaka
kwamba ANAJIONA MZURI SANA, na hata alipochoka
akaamua kuondoka ulimsindikiza na Matusi kwamba
HUJALI KUONDOKA KWAKE utapata mwingine zaidi
yake.. Sasa ameolewa kwa Jirani AMENAWIRI unaanza kummezea Mate upya na kuanza kufanya
Visa... Nasikia ETI Umemtengea FUNGU kuhakikisha
Unampata... Kwanini utumie nguvu kubwa leo wakati
alipokuwa kwenye Himaya yako Uliona WA KAZI
GANI???
Leo kapata anayemthamini na kumpa raha
ndo unamuona wa thamani?? Ulisema HUPENDI KABISA KATUNI hata upewe Bure HUTAKI, Itachafua
Sebule yako tu, Leo kimekusibu nini Unatoa MILIONI 15
kununulia KATUNI ambayo ulisema HAINA MVUTO
Mwaka Mmoja tu Uliopita??
Stunter unajua kuwatega.... Unajichagulia tu hapo nyavu imejaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom