Popote Ulipo Hii Itakufikia Tu..!!

Popote Ulipo Hii Itakufikia Tu..!!

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Alipokuwa Mkeo HUKUMTHAMINI, Ulimpiga
ulipojisikia, Ulimsimanga kwa Maneno ya Dhihaka
kwamba ANAJIONA MZURI SANA, na hata alipochoka
akaamua kuondoka ulimsindikiza na Matusi kwamba
HUJALI KUONDOKA KWAKE utapata mwingine zaidi
yake.. Sasa ameolewa kwa Jirani AMENAWIRI unaanza kummezea Mate upya na kuanza kufanya
Visa... Nasikia ETI Umemtengea FUNGU kuhakikisha
Unampata... Kwanini utumie nguvu kubwa leo wakati
alipokuwa kwenye Himaya yako Uliona WA KAZI
GANI???
Leo kapata anayemthamini na kumpa raha
ndo unamuona wa thamani?? Ulisema HUPENDI KABISA KATUNI hata upewe Bure HUTAKI, Itachafua
Sebule yako tu, Leo kimekusibu nini Unatoa MILIONI 15
kununulia KATUNI ambayo ulisema HAINA MVUTO
Mwaka Mmoja tu Uliopita??
 
Heheheeee, warereeeee!!! Ukisema wa nini mwenzio anasema atampata lini babuuuuuu
 
Thamani ya kitu/mtu huonekana pale ki/asipokuwepo.
 
Back
Top Bottom