money agenda
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 250
- 192
Ninawasalimu wanabodi wote, pia niwape pole kwa heka heka za kuhakikisha mnadumisha ustawi wa familia zenu na taifa kwa ujumla,
Najitokeza kumtafuta member wa JF aitwae mangatara nina shida nae ya muhimu. Tafadhali kwa yeyote atakaemuona humu jukwaani asisite kumjulisha kuwa anatafutwa na 'mtu anayejulikana' member mwenzake.
Amani iwe nanyi nyote!