Popote utakapo muona huyo ni mke wangu mwambie namtafuta

Popote utakapo muona huyo ni mke wangu mwambie namtafuta

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2019
Posts
1,380
Reaction score
1,686
Nitajihidi kumuelezea japo kwa uchache na nitatumia picha.

Ndugu msomaji tafadhali sana mwambie mume wake namtafuta sana.

Kwanza kabisa si mnene sana japo kajazia kidogo pia ni mrefu.
Si mweupe
Ni mweusi titititiii!.... Huyo ni mke wangu.
Hajichubui wala si mweupe wa kuzaliwa.
Ana matako flani makubwa na malaini. Huyo ndie mke wangu mimi.

Hana mtoto wala hajawahi kuzaa,
Kachoka kukaa kwao na ananitafuta kila siku ni vilio akimuomba amletee mume wake.
Mwambie ni mimi namtafuta.

Mwambie kuwa mume wake nimejipata sasa nina kwangu na nina usafiri wa kutembelea.
Mwambie aje haraka kabla wahuni wa jiji hawajanivamia.

Msisahau kumwambia kuwa sijazeeka ni kijana wa miaka 30.

Popote mtakapo muona mwambieni mume wake nipo tayari sasa namuita aje Pm nimpe namba.
 

Attachments

  • .trashed-1742281269-1739292231919.jpg
    .trashed-1742281269-1739292231919.jpg
    439 KB · Views: 3
  • 1696165007864.jpg
    1696165007864.jpg
    373.7 KB · Views: 3
  • 1696333043850.jpg
    1696333043850.jpg
    402.5 KB · Views: 2
  • 1696441035306.jpg
    1696441035306.jpg
    288.5 KB · Views: 3
  • 1696958221960.jpg
    1696958221960.jpg
    255.3 KB · Views: 4
  • 1697004200942.jpg
    1697004200942.jpg
    284.1 KB · Views: 3
  • 1699937669990.jpg
    1699937669990.jpg
    316.7 KB · Views: 2
  • 1700341491771.jpg
    1700341491771.jpg
    375.1 KB · Views: 3
  • 1701606661232.jpg
    1701606661232.jpg
    525.1 KB · Views: 1
  • 1701606668312.jpg
    1701606668312.jpg
    555.6 KB · Views: 4
  • 1703825053881.jpg
    1703825053881.jpg
    450.3 KB · Views: 3
  • 1704310937133.jpg
    1704310937133.jpg
    379.1 KB · Views: 2
  • 1704310937133.jpg
    1704310937133.jpg
    379.1 KB · Views: 3
  • 1704310934940.jpg
    1704310934940.jpg
    400.6 KB · Views: 2
Vijana wa facebook wameaamia jamii forum kwa kasi sanaa,..ili swala ni la kulichukulia hatua kali..
 
Back
Top Bottom