Popular Quotes

Popular Quotes

Hahahahaah wa style hio sasa Hivi anafanya PhD huko Ujerumani, yaani nilidhani ndio unamsema yeye! Wallah anamalizia PhD yake kwa style hio hio, ni Assistant Lecturer pale UDSM. naomba nisitaje which school!!
 
Mwanaamke nomaa wanaume tukomaeee hata asipo ajiriwa ataolewa na duka atapewa na Passo juu
 
1467824091494.jpg
 
Hahahahaah wa style hio sasa Hivi anafanya PhD huko Ujerumani, yaani nilidhani ndio unamsema yeye! Wallah anamalizia PhD yake kwa style hio hio, ni Assistant Lecturer pale UDSM. naomba nisitaje which school!!
Namie nimemaliza huko udzm wako wengi hao, inauma na kukatisha tamaa sana ukiwa unapambana kwa tuakili twako.
 
sasa wamepewa mgodi katikati ya miguu yao tatizo nini kama anaweza kuutumia mgodi vilivyo?
 
Wapo wengi maofisini..Kichwan zero lakini wanafukuzwa wengine wao wapo
 
wakatu wa "The PUNCH" miaka ya 70' alikuwepo Murderous Molly aliichanganya UDSM na hata alipotoka alichanganya mpaka Beijing
akili mu kichwa
 
kila mtu ana mbinu ya kufanikisha ndoto zake zitimie...hivyo hizo ni miongoni mwa njia za mafanikio..
 
Back
Top Bottom