Elimringi moshi
Senior Member
- Aug 10, 2011
- 191
- 108
Namie nimemaliza huko udzm wako wengi hao, inauma na kukatisha tamaa sana ukiwa unapambana kwa tuakili twako.Hahahahaah wa style hio sasa Hivi anafanya PhD huko Ujerumani, yaani nilidhani ndio unamsema yeye! Wallah anamalizia PhD yake kwa style hio hio, ni Assistant Lecturer pale UDSM. naomba nisitaje which school!!
Not entirely.ni uwongo wa hali ya juu!