Popular Quotes

Ianzishwe hii sheria ya mtu kuto-quote uzi mrefu. Sio wote wanatumia computer kuingia humu, wale wanaotumia simu wanapata shida sana.
Hii sheria ianzishwe ikiwezekana hata ban ya siku tatu ihusike.
 
Ni kweli watu wanakera sn kwa tabia hii utakuta labda ni hadithi mtu anaquote halafu yeye kaandika maneno matatu tu.
 
"Just because everyone is going in one direction doesn't mean you should too Everyone could be wrong"
 
Ku-quote uzi mzima ni kigezo kimojawapo cha uzi huo kutumika kama ushahidi pindi pale utakapouedit baada ya kujichanganya mwenyewe au pengine kudanganya.

Hii ni nzuri japo inatumika vibaya.
 
Naunga mkono hilo, nadhani mods ni wataalamu wa haya mambo, hivyo kama wanaweza kumodify namna ya ku quote itapendeza. Ku quote kuna maana kubwa lakini mtu mwingine ana quote mwishoni hana hata ujumbe mrefu.. Mfano mtu ame quote chini anaishi neno "kweli kabisa". Km kutakuwa na maboresho ya ku quote mods itasaidia.
 
nilijua na kwenye simu huwa wanazicompress. ntaacha kufanya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…