Population in Kenya

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,957
Wadau kwa mujibu wa Kenya National Bureau of Statistics, idadi ya watu kama ifuatavyo:

1) Wakikuyu - 6,622,576
2)Waluhya- 5,338,666
3) Wakalenjin - 4,957,328
4)Wajaluo -4,044,440
5) Wakamba - 3,893,157
6) Wakisii - 2,205,609
7) Wameru - 1,658,108
8) Waturkana - 988,592
9) Wamasai - 841,622
10) Somalis - 2,385,572

Karibuni
 
Hivi inaweza kutokea Kenya kuwa na rais kutoka jamii ya wa-Somali?
 
Abduba Dida aliyekuwa nambari tatu kwenye mchuano wa rais uchaguzi huu na '13 ni msomali. Huyu jamaa ni hataree siku moja atakalia kiti hicho cha urais!
 
Makabila mengi mbona umeyaacha?
 
Wasomali hawajatimia milioni mbili Kenya.
Halafu Sky Eclat mgombea urais aliyeshika namba tatu ana asili ya Kisomali.
Aliwashinda wagombea kadhaa.
 
Wasomali ni wengi sana....pia 2009 wengi hawakuhesabiwa.
Usishangae wakiwa 3-4m now.
 
Wasomali ni wengi sana....pia 2009 wengi hawakuhesabiwa.
Usishangae wakiwa 3-4m now.

Unazungumzia raia wa Kenya, yaani Wasomali wazawa wenye uraia au wote hadi walioingia kinyemela.
 
Hivi inaweza kutokea Kenya kuwa na rais kutoka jamii ya wa-Somali?
Sio wasomali tu hata chansi ya muislam kuwa rais Kenya sio Leo wala kesho

Labda pwani yote ya mombasa iwe nchi inayojitegemea

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…