Synod
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 4,143
- 4,180
Unafikiri Africa tunachagua mtu kwa kuangalia hizo unazoziita outstanding leadership qualities?Sky, kama ana outstanding leadership qualities inawezekana. See the case of Obama, black from Africa! Something that was unthinkable!
FYI, kenya kuna msemo kuwa ikulu ni ya wagikuyu na kalenjin tu!
Utaona rais anaye baada ya UK atakuwa mkalenjin