Nzokanhyilu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2007
- 1,078
- 101
Naomba kuuliza swali;
Ninajaribu kufuatilia mambo ya Tanzania. Nafuatilia kwa kuangalia vitu kama Population na resources. Sasa katika kusoma soma data, na kuplot, nimepata maswali machache.
Data za Population nimepata website ya UN. Nimechukua data hizi, nimepiga mahesabu simple kwaajili ya Pop growth rate (nikatengeneza plot). Nime-attach plots.
Kati ya 1975 na 1990 pop. growth rate ilishuka - Kwanini??
Kati ya 1990 na 1995 growth rate ilipanda - kulitokea nini??
Kati ya 1995 na 2000, growth rate ilishuka ghafla - Kwanini??
Kati ya 2000 na 2005, ilipanda tena. Kwanini??
Ubadilikaji wa growth rate unaweza kutokana na immigration (mfano vita Rwanda/Congo), emmigration (mfano vita kuisha Rwanda/Congo), au birth rate kupanda/kushuka (hivi vitu bado sijaangalia kwa Tanzania), magonjwa etc.
Ningependa kujua haya mabadiliko yanatokana na nini? Njaa? Magonjwa? Vita? etc
Formula ya Pop. growth (g) niliyotumia ni;
g = (P(n+1)/P(n-1)) - 1/(T(n+1) - T(n))
P (population), n = mwaka wa sensa (au predicted Pop), T = Time (mwaka)
Ukifanya mahesabu haya haya kwa nchi kama Rwanda, utaona kwamba wakati wa vita vya 1994 na miaka kadhaa iliyofuata, Pop ilishuka, Pop growth rate ilishuka. Baada ya hapo, ikashoot (both Pop and gowth rate). Then Pop growth rate ime-stabilize baada ya 2000. Hii ikimaanisha Pop. growth rate yao inaendana na resources walizonazo (amongst other things). Unaanza kujiuliza, kwanini Rwanda wanataka sana kujiunga EAC? Is it a resources issue?
Je, sisi tunafuatilia mambo haya? Pop. yetu inajitosheleza vipi na resources tulizo nazo? kama hatujitoshelezi, ndio sababu growth rate ishuke? Kwanini UN wapredict growth rate inayoshuka? Ina maana hatuna mpango wa kuendelea?
Maswali haya ni socio-economical, siasa etc.
Naombeni majibu.