Lakini si ndio hobi ya wa huko?
(Msiniue, nimeropoka tu)
Duh mkuu umenikumbusha siku moja tulikua kwenye lecture kumbe kuna mdingi alikua anacheki pono asa kwa bahati mbaya akaongeza sauti aisee hapakutosha ilibidi mbindigi amtupie dogo alie kaa karibu coz alishindwa hata kuzima kwa kiwewe!
yap-wengi wa huko ndio mambo yanayopendaLakini si ndio hobi ya wa huko?
(Msiniue, nimeropoka tu)
Ouch! Mamaa mbavu zangu. Mkuu umenikumbusha mbali sana dah.